Off Topic... Alert! ALERT!
Nimegundua kuwa Witnessj ni mdada wakishua. Kuna sababu kubwa kwanini wale wakina skysrapa, sijui skylet, Rubi, Demi, misschaga na yule mwenye dp za mahips hips hawajaonekana humu. That means ni wapanda daladala[emoji12] . Kama nimekuuzi am sorry 4 zati, take this with a grain of salt and laugh with me[emoji23] .
Kiukweli natafuta wadada Kama nyie witnessj siwapati. Zaidi ya kuwaona kwenye foleni Posta tu, sijui machimbo yenu wapi. Am talking about ladies like you mnaoendesha magari mazuri, achana na hawa wa IST, tabia zao sawa na za wa daladala. Very stubborn.
Kuna siku nilikutana na mdada yupo ndani ya Range Rover Red Cross kwenye mataa. Nikabidi niweke bonge la music nianze kuimba 'Endi I will du enyithing 4 ya!!!' Nikapata attention[emoji2] . Despite the fact siku hii nilitoka na Funcargo imegongwa mbele kiaina, akaongea na Mimi. Piga vocal Kama zote akatoa karatasi kuniandikia number. Time anarusha paper, napigiwa honi foleni imesogea [emoji35] [emoji35] karatasi ikagonga kioo Cha nyuma chini. Nilidhani na upande wake utasogea. Nikampoteza. Kwa kweli nilitamani niwashe hazard nitafute ile paper naangalia nyuma hata range siioni[emoji17].
My question for you WitnessJ... Machimbo yako wapi? Na Mimi nihangout huko, naweza pata mwenye Porsche aiseee.
P.s Witnessj, are you taken here on JF?[emoji57] if not please be my Jf babe.
-callmeGhost
Sent using
Jamii Forums mobile app