Sir Hemedi
Senior Member
- Sep 28, 2016
- 112
- 120
- Thread starter
-
- #21
kilaza[emoji23] [emoji23] [emoji23]Unadhani sijitambui? Hahahahahahaha we ndio unatakiwa kujitambua na huo umbumbumbu wako we gari unaona ina cc 2500 ama 3000 halafu unaulizia ulaji wa mafuta si unaonekana kabisa we ni kilaza. Unadhani wanaonunua vi baby walker vyenye cc chini ya 1500 kama ist, starlet na terios kid wanapenda? Nunua kitu kinachoendana na uwezo wako acha kufata mkumbo. Narudia tena brevis inakula kuanzia mafuta mpaka supu ya kongoro
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza jua imetoboka kumbe nikawaida yakeSamahani hii ni kama imetoboka au hata kama haijatoboka inakula lita 1 km 8?
Blogger & Trainer
Aah apo sawa mkuu kwa ufafanuzi kweli kwa Dar foleni utadhani siafu wanahama kumbe pilika pilika.Nimesema mikoani kwa sababu hakuna changamoto ya foleni mkuu
Shukrani mkuuAah apo sawa mkuu kwa ufafanuzi kweli kwa Dar foleni utadhani siafu wanahama kumbe pilika pilika.
Mkuu vipi kwenye toyota ractis ya mwaka 2008 engine ya 2SZ cc1290
Mmmmmh sio kweli mzee babaBora ununue gari la wastani tu kama Harrier au Kluger sio Brevis halafu inakula mafuta kuliko Harrier
Yuko right mkuu...sasa ununue Brevis cc 2500 still ni gari la chini na barabara zetu kila siku unagonga chini unaharibu mavyuma tuu!...the same centimeter cylinder si bora ununue hizo SUV harrier or klugger?
Klugger ni sh. Ngapi na Brevis ni sh. Ngapi mkuu?Yuko right mkuu...sasa ununue Brevis cc 2500 still ni gari la chini na barabara zetu kila siku unagonga chini unaharibu mavyuma tuu!...the same centimeter cylinder si bora ununue hizo SUV harrier or klugger?
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn pia watu wana tastes tofauti tofauti,kwa mfano mimi napendelea saloon cars kuliko hizo mid-size crossover kama klugger, labda yale ma full size SUV's kama ma Vx ndo nayapenda ila ndo hivyo tena vyuma+wese ni shiiida.Yuko right mkuu...sasa ununue Brevis cc 2500 still ni gari la chini na barabara zetu kila siku unagonga chini unaharibu mavyuma tuu!...the same centimeter cylinder si bora ununue hizo SUV harrier or klugger?
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwenye bei tuu...but kama Brevis inaenda mil 13, unajivuta Vuta mpaka ufikishe mil 23 uchukue SUV!Klugger ni sh. Ngapi na Brevis ni sh. Ngapi mkuu?
Unadhani hawazioni SUV mkuu?Vyuma vimekaza tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ...kwenye taste nimekuelewa kabisa! Kila mtu na choice yake!Lkn pia watu wana tastes tofauti tofauti,kwa mfano mimi napendelea saloon cars kuliko hizo mid-size crossover kama klugger, labda yale ma full size SUV's kama ma Vx ndo nayapenda ila ndo hivyo tena vyuma+wese ni shiiida.
Sijui kwanini naiona Klugger imekaa kizee bora hata VanguardLabda kwenye bei tuu...but kama Brevis inaenda mil 13, unajivuta Vuta mpaka ufikishe mil 23 uchukue SUV!
Mimi gari za chini hazijawahi kunibariki hataa! Nilikuwa nayo nilijionea mateso wanayopata wenye hizo saloon cars!
Sent using Jamii Forums mobile app
Klugger sio ya kizee ni ya vijana wa kiume makini! I love nikimuona agemate anasukuma klugger!
Vanguard au Lexus rx300 hizo ndiyo zipo kichwani hasa rangi nyeusi.Klugger sio ya kizee ni ya vijana wa kiume makini! I love nikimuona agemate anasukuma klugger!
There you are! Vanguard ni ya wadada afuu ile gari kali kinomazz, lazima ugeuze shingo ( kwa mtunzaji lkn[emoji15] )
Ndo ndoto yako nini my shostito?
Sent using Jamii Forums mobile app
Black is the dominant colour, Safari Automotive ni nyoko kuipimp ndinga afuu bei ya kawaida tuu niliona pia kwa staff mmoja alifanya pale!...... Ngoja mambo yangu yakae vizuri nizamie wadesign kitu yangu japo nilitaka niende pale Harrish MM Masaki..Vanguard au Lexus rx300 hizo ndiyo zipo kichwani hasa rangi nyeusi.
Kuna shostee ana Vanguard kai -pimp hatarii aliipeleka pale Safari Automotive imekua nzuri sana.
Sent using Jamii Forums mobile app