Nilikuwa najichanga nichukue Toyota Brevis, ila nimeambiwa inakula mafuta sana

Madame dude limetulia hilo,na mjini sio nyiingi kihiiiivo.
Mshikaji wangu ofisini kavuta hilo la 2014 ....mpaka namtamania[emoji15] [emoji15] ...weekend hii ananikopa mndinga wake huo niundeshe yy anabaki na mkebe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Natamani ijumaa ifike nikabidhiwe kitu, can't wait!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahah aisee huyo mchizi amejipanga sana ,usitusahau kwny ufalme wako(japo ka lift tu mkuu hio weekend,hahah
 
Aaah weekend hii sikupi lift...kuna kiboya flani niligraduate nacho kinaishi maeneo ya Oysterbay kinanirushaga roho na Tuareg yake maeneo yetu ya kula bata!

Sasa nataka weekend hii nikikate makali kwanza mamaaaaee!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom