mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Nadhani ukiipata hio gari iliyomshinda mwana "jeep cherokee Xj Cc 4000" linaloenda lita 1 kwa km 4 litakufaa sana mkuu.Mi napenda gari yenye CC kubwa
Mafuta sio big deal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani ukiipata hio gari iliyomshinda mwana "jeep cherokee Xj Cc 4000" linaloenda lita 1 kwa km 4 litakufaa sana mkuu.Mi napenda gari yenye CC kubwa
Mafuta sio big deal
Nadhani ukiipata hio gari iliyomshinda mwana "jeep cherokee Xj Cc 4000" linaloenda lita 1 kwa km 4 litakufaa sana mkuu.
Unalolimudu wewe ni la cc ngapi?Ukinunua gari bila kutaka sifa maana yake unalimudu, ukitaka uonekane litakushinda
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Samahani hii ni kama imetoboka au hata kama haijatoboka inakula lita 1 km 8?
Blogger & Trainer
Mshikaji wangu ofisini kavuta hilo la 2014 ....mpaka namtamania[emoji15] [emoji15] ...weekend hii ananikopa mndinga wake huo niundeshe yy anabaki na mkebe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Madame dude limetulia hilo,na mjini sio nyiingi kihiiiivo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji107] [emoji107] [emoji107]Kuna watu mpk ile vitz ya cc 990 anauliza lita 1 inaenda km ngapi?hahah
Kwanini unapenda cc kubwa?Mi napenda gari yenye CC kubwa
Mafuta sio big deal
Usinikumbushe huyo jamaa...haahaaaNadhani ukiipata hio gari iliyomshinda mwana "jeep cherokee Xj Cc 4000" linaloenda lita 1 kwa km 4 litakufaa sana mkuu.
Hahah ye si anajifanya "tycoon" acha aisome no. Taratiiiiiibu mkuu.
Hahah aisee huyo mchizi amejipanga sana ,usitusahau kwny ufalme wako(japo ka lift tu mkuu hio weekend,hahahMshikaji wangu ofisini kavuta hilo la 2014 ....mpaka namtamania[emoji15] [emoji15] ...weekend hii ananikopa mndinga wake huo niundeshe yy anabaki na mkebe wangu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Natamani ijumaa ifike nikabidhiwe kitu, can't wait!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Story za Mbunye vp mkuu?mambo nianayo yapenda duniani ni story za magari na mziku tuu
Ukweli mtupu!Ukinunua gari bila kutaka sifa maana yake unalimudu, ukitaka uonekane litakushinda
But mi nawaapreciate watu wa hivyo hawataki umaskini kabisa!....ni full kuukataaa[emoji23]Hahah ye si anajifanya "tycoon" acha aisome no. Taratiiiiiibu mkuu.
Aaah weekend hii sikupi lift...kuna kiboya flani niligraduate nacho kinaishi maeneo ya Oysterbay kinanirushaga roho na Tuareg yake maeneo yetu ya kula bata!Hahah aisee huyo mchizi amejipanga sana ,usitusahau kwny ufalme wako(japo ka lift tu mkuu hio weekend,hahah
Sasa cc 2000 ya gari ya mtu inahusiana vepe na lift yako?Gari yangu mimi mwisho ni cc 2000. gar ya zaid ya hapo hata lift tu sitaki!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hupendi hela boss?mambo nianayo yapenda duniani ni story za magari na mziku tuu