Nilikuwa najiuliza ni kwanini Watu wameumia sana na Mechi kutochezwa na mpaka sasa wanahaha kutoa Lawama kumbe hizi ndizo sababu? Poleni sana...!!

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Okra anatudai

2. Mkude anataka kulianzisha kwa Deni lake

3. Baleke anadai

4. TFF kuna Kesi Kenda (9) za Wao kudaiwa na Wachezaji

5. Kocha Mgeni na Kocha Mzawa wanadai

6. Waganga wetu hasa yule wa Mtwara anadai hadi anataka kuhamia kwa Mahasimu

7. Tumefukuzwa Kigamboni kwa Deni Kubwa na Tajiri wa Posta Ghorofani kasema kachoka Kusaidia

Kudadadeki......!!!!!!!
 
Leo tu thread ya 40 hii toka kwako. Please, ficha uchi wa akili yako we Popoma. 😀😀😀😀
 
Simba huwa wanakuwa na sababu zinazobadilika kila siku. Hebu wana simba mseme sasa sababu hasa ni zipi?
Kuzuiwa na Mabaunsa wa Yanga SC huku pembeni yao wakiwepo Waandamizi wa Timu kama Rafiki yangu Msela Binda.
 
Luc Eymael dhidi ya Mashabiki wa Yanga

"Mashabiki walikuwa wanamzomea Yikpe ili nimtoe. Mashabiki wa Yanga ni kama mambumbu, wanapiga makelele tu na kuzomea kama nyani au kubweka kama mbwa" Luc Eymael
 
Mganga wa mtwara tena!, unanichanganya hapo. Naomba maelezo zaidi kuhusu hili
 
Mganga wa mtwara tena!, unanichanganya hapo. Naomba maelezo zaidi kuhusu hili
Watu wa Mpira wameshamjua kwani anatumiwa pia na Kiongozi Mwandamizi, Waziri mmoja na Wabunge kama Watatu hivi wa Kusini.
 
Popoma unajitahidi kurudi kwenye ubora wako wa kipopoma pro max. Once a Popoma always a Popoma pro max
 
Bullshit...
 
no 7 watu walishajipanga kumpa my wao kono la nyani imewauma sana my kukimbia kif...ro hicho
 
Tulichungulia asubuhi tu na kuona dhahama nyingine inakuja na tukawa very smart katika kuwakwepeni na kufanikiwa.
Kimsingi ni kweli mmefanikiwa na mmewaingiza king bodi ya ligi sasa wanaomba msamaha na kumbembeleza Hersi akubali mechi nyingine.
 
Hii game kuahilishwa Mimi naona sababu ni serikali kuingilia ratiba ya matukio. Tarehe 08 kulikuwa ni siku ya wanawake na nguvu kubwa ilihamishiwa huko isingekuwa rahisi matukio mawili makubwa yafanyike kwa wakati mmoja. So ssc na mabaunsa kutengeneza cinema Ile then kugomea kucheza na tff kufuta mchezo husika mm naona ni mpango ulipangwa ili kuizima mechi kuwe na tukio Moja tu la siku ya wanawake pale Arusha na walifanikiwa
 
Hizi hoja tushazizoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…