Siwezi jamani nilishangaa tu mwanaume ambae yuko comfortable na mwanamke mwenye tattooHuyo aliyekuambia uchore kiunoni anakutafutia mabaya, mimi binafsi demu ambaye ana tattoo siwezi ku deal naye, nilishajijengea kichwani wanakuwa mambo mengi sana
VizuriHata ningekua nayo ningesema mkuu. Sina na naogopa kuchora hivyo tuu
Rafiki zako wanazo tattoos sehemu gani za mwili na wao kuzifahamu.
Kitu kimoja ambaxhonakina dada/wanawake wanatakiwa kujifunza ni kuwa....... Wanaume wachache sana wanaopenda mwanamke mwenye tatoo na wakampenda kwa dhati. Mitazamo iliyopo mingi simmizuri(ingawa haina maana ndiyo uhalisia).
Kama wanapenda tatoo wao kwanini wasijichore hadi watake yako ya kiunoni?
Yeah.Wamesema ni fantasy tuu
Wanakudanganya hao ukichora utaona madhara yake ukizeekaKuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.
Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.
Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.
Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
Una akili sana binti yanguAkakuchoreshe lijitatoo halafu siku ya siku akuache
OUT OF TOPIC IDIOTKuna wanawake wana dimples katika matackle! Mm ndio napenda zile! Ni alama za doggy style
LESBIAN SHUT UPSiwezi kuchora Tattoo na Siwezi kumdate mtu mwenye Tattoo ingawa siwahukumu waliochora sababu kila mtu na pendekezo lake, ila nina marafiki wengi sana wana Tattoo na wapo cool sababu kila mchora Tattoo lazima awe na maana nayo.
Wewe umewajuaje kama sio mdau?hao jamaa watakuwa wanaangalia sana porn tena zile za red hair [emoji23][emoji23] wadada wengi huko ni kama latino fulani hivi wenye tattoo. Waambie waache angalia porn Mkuu.
Nigger, have you taken your pills?LESBIAN SHUT UP
Its funny, huyo unayemuona ni mtakatifu ndio amekitembeza mpaka kimeota sugu.Mwanamke mwenye Tattoo namuona Malaya tu
Pills mama akoNigger, have you taken your pills?