Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Jamani kwani kuvuta bangi nako ni tabia mbaya?
Nawajua wavuta bangi wengi tu tena waheshimiwa na hawana tattoo hata moja.
 
dah me mwanamke ambae anachora tatoo huwa namuona malaya kwani kuna jamaa yangu ni mchora tatoo kila siku anawatomba wa dada hasa hao wanaotaka kuchotwa tatoo za kiuno na sehemu nyingine za siri maana akishikwa tu imo kifuatacho itv kinajulikana

Bongo professionalisms ni kitu kigumu sana usemalo lipo Mkuu, sio kuchora tattoo tu kwenye mambo mengi wenye upenyo wanatekeleza ila zao mbaya za unyanyasaji

Unless mwanamke asijipeleke kwenye mazingira yao
 
Sehemu nyingi tu.
 
Bila kuwasahau wale wa osha miguu na wapaka rangi; pia ni hatari sana.
 
Yeah back to your mada
Kimsingi ili ni swala la tamaduni na jamii husika na aina ya maisha binafsi. Kuna weza kusiwe na mahusiano ya tabia ya mtu na uchoraji tattoo ni mitazamo tu ya watu.
Mitazamo ya watu wanaichukia kabisa tattoo na bangi lakini sababu ya maana hamna.
Mmoja tu ndio alisema kwenye utoaji damu mtu mwenye tattoo hatumiki ambayo ni sababu ya maana kabisa kwanini tattoo sio kitu kizuri.
Hawa wengine wanarudi kule kule kwenye mitazamo ya "umalaya na kushindikana".
 
Bila kuwasahau wale wa osha miguu na wapaka rangi; pia ni hatari sana.

Mkuu tuna safari ndefu sana kwa kweli lakini katika baadhi ya mataifa yaliyo endelee mwanamke anaeshimika sana huwezi kufanya ujinga huo wanaofanya

Nakumbuka one time master j anahojiwa alikiri kuwa hapendi Binti zake wawe wanamuziki bongo sababu kwa uzoefu wake anajua kinachowakuta wasanii wanawake wasioweza kukaza hata kidogo
 
Kama huna Exposure ya maisha na kufikiria kimapana utafanya majumuisho ya wewe unavyoona na si uhalisia wa jambo lenyewe nafikiri kuna kabila kusini mwa tanzania wanajichora usoni kama sikosei, kwa mantiki hiyo watu lazima watambue hakuna mahusiano ya uchoraji wa tattoo na tabia husika ya mtu
 
Sikuhizi hata barbershop tunaogopa kwenda
 
Wamakonde wanajichora ni utamaduni wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…