Zesh
JF-Expert Member
- Apr 27, 2017
- 15,395
- 25,049
Dah naona umegonga kwenye mfupaKwani tattoo ni dhambi? Hayo ya hofu ya Mungu hata mwenye hofu ya Mungu hawezi kukwambia mngonoke kabla ya ndoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah naona umegonga kwenye mfupaKwani tattoo ni dhambi? Hayo ya hofu ya Mungu hata mwenye hofu ya Mungu hawezi kukwambia mngonoke kabla ya ndoa.
Jamani kwani kuvuta bangi nako ni tabia mbaya?Mzigua90 ninavyojua mimi asilimia kubwa ya wanaume hawazipendi tattoo kuna picha fulani inajengeka akilini kutokana na asilimia kubwa ya waliochora tattoo wana tabia nyingine zile mfano uvutaji bangi na mambo kama hayo japo si wote upande wangu naweza kudate au hata kuolewa na mwenye tattoo akiwa ni mtu anayeeleweka
dah me mwanamke ambae anachora tatoo huwa namuona malaya kwani kuna jamaa yangu ni mchora tatoo kila siku anawatomba wa dada hasa hao wanaotaka kuchotwa tatoo za kiuno na sehemu nyingine za siri maana akishikwa tu imo kifuatacho itv kinajulikana
KidumuMaendeleo hayana chama ,kidumu cha chama tawala
Sehemu nyingi tu.
Bila kuwasahau wale wa osha miguu na wapaka rangi; pia ni hatari sana.Bongo professionalisms ni kitu kigumu sana usemalo lipo Mkuu, sio kuchora tattoo tu kwenye mambo mengi wenye upenyo wanatekeleza ila zao mbaya za unyanyasaji
Unless mwanamke asijipeleke kwenye mazingira yao
Mitazamo ya watu wanaichukia kabisa tattoo na bangi lakini sababu ya maana hamna.Yeah back to your mada
Kimsingi ili ni swala la tamaduni na jamii husika na aina ya maisha binafsi. Kuna weza kusiwe na mahusiano ya tabia ya mtu na uchoraji tattoo ni mitazamo tu ya watu.
Bila kuwasahau wale wa osha miguu na wapaka rangi; pia ni hatari sana.
Mitazamo ya watu wanaichukia kabisa tattoo na bangi lakini sababu ya maana hamna.
Mmoja tu ndio alisema kwenye utoaji damu mtu mwenye tattoo hatumiki ambayo ni sababu ya maana kabisa kwanini tattoo sio kitu kizuri.
Hawa wengine wanarudi kule kule kwenye mitazamo ya "umalaya na kushindikana".
Sikuhizi hata barbershop tunaogopa kwendaMkuu tuna safari ndefu sana kwa kweli lakini katika baadhi ya mataifa yaliyo endelee mwanamke anaeshimika sana huwezi kufanya ujinga huo wanaofanya
Nakumbuka one time master j anahojiwa alikiri kuwa hapendi Binti zake wawe wanamuziki bongo sababu kwa uzoefu wake anajua kinachowakuta wasanii wanawake wasioweza kukaza hata kidogo
Wamakonde wanajichora ni utamaduni waoKama huna Exposure ya maisha na kufikiria kimapana utafanya majumuisho ya wewe unavyoona na si uhalisia wa jambo lenyewe nafikiri kuna kabila kusini mwa tanzania wanajichora usoni kama sikosei, kwa mantiki hiyo watu lazima watambue hakuna mahusiano ya uchoraji wa tattoo na tabia husika ya mtu
hahaha anavuta hadharani Mzigua90Jamani kwani kuvuta bangi nako ni tabia mbaya?
Nawajua wavuta bangi wengi tu tena waheshimiwa na hawana tattoo hata moja.
sawa mama ila wanaume wengi wa TZ wanaprefer waikute tattoo kwa mchepuko au wanaojiuza ila si kwa watu wenye malengo nao Mzigua90Haahahaaa. Pembeni huko mama