Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Usijidanganye, that is just sex fantasy. Na siyo mapenzi.
Kati ya ujana ambao nashukuru Mungu aliniepusha nao ni Tattoo, naomba kila mara wanangu pia Mungu awape mwongozo huo.
Nakumbuka enzi za uvulana tattoo iliyoshika kasi ilikuwa nanga, ukiona mtu amechora nanga kwenye muscles unahisi ni baharia tu, Ubaharia tulikuwa tunaona ndio watu walio endelea, ukianza kupewa stori za mizunguko yao unahisi kuwa ni waponda raha sana.
Siku moja nikaenda kuchora tattoo, Nakumbuka ile naanza kuchorwa umeme unakatika, ndio ukawa mwisho wa kuwaza kuchora tattoo.
 
Tattoo ni kuendeleza utumwa,zilitumika kama alama kwa babu zetu kipindi cha utawala wa mkoloni
 
Nanga na usukani wa meli.

Mimi nilikuwa naishia kuchora ambazo zinafutika.
 
Ahsante kwa maelezo mazuri
 
Babe Usije ukachora tatoo full stop
 
Kama mwanamke anaweza kutoboa kipini puani
atashindwaje kutoboa moyo wako??

Aliskika dogo mmoja wa Senegal kabla hajafunga goli
Jamani jamani!!! Mbona huu utamaduni wa kutoboa pua ni wa miaka mingi,
bibi yangu ana miaka 90 sasa na ana kipini puani na hakuwahi kuachika kwa mume wake mpaka wamezeeshana.
 
Jamani jamani!!! Mbona huu utamaduni wa kutoboa pua ni wa miaka mingi,
bibi yangu ana miaka 90 sasa na ana kipini puani na hakuwahi kuachika kwa mume wake mpaka wamezeeshana.
Ndo ujue watu wanakataaga vitu wanavyoona kwao sio sahihi lakini havina maana yoyote kwa wao kukataa
 
Jamani jamani!!! Mbona huu utamaduni wa kutoboa pua ni wa miaka mingi,
bibi yangu ana miaka 90 sasa na ana kipini puani na hakuwahi kuachika kwa mume wake mpaka wamezeeshana.
kwa wazee wa zamani waliojua kukaa na ndoa sawa.walichukulia vitu kama hivyo ni urembo!
ila hawa wa sasa wanaweka kama alama inayojitafsiri kuwa yeye ni mtu wa aina gani.
 
Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Kwahio walikuwa wanataka 4-some?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…