Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Hao wote hawatakuoa wanataka kukukaza then wasepe zao....
 
Wanataka kukumega tu! Mwanaume akikutaka hata chongo atakuambia ni urembo
 
Hao wote walokwambia ni masharobalo.... Ulion wapi sharobalo akawa na malengo murua!?
Kwangu mim tattoo ni ungese
 
Wanawake wengi wenye tattoo huwa hawaolewi fanya tafiti utagundua hilo
 
Jamani jamani!!! Mbona huu utamaduni wa kutoboa pua ni wa miaka mingi,
bibi yangu ana miaka 90 sasa na ana kipini puani na hakuwahi kuachika kwa mume wake mpaka wamezeeshana.
Ni malaya tu uyo bibi yako
 
Hakuna mwanaume anapenda mwanamke wake wa maisha/kuoa awe na tattoo..

Tunapenda wa kupiga na kuacha wawe nazo..
Hilo tuu dada angu
 
Wanasema wao hawapendi kabisa kujichora tattoo, surprisingly wao wanapenda sana wadada wanaojichora tattoo.

Huwa wanaume ni viumbe waongo sana, halafu wadada bado hawajang'amua hilo.
 
Tatoo kiuno daah, ningejua kuchora ninge wagegeda san[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo

Hebu soma hii sentensi, taratibu. Ukimaliza, rudia tena.
 
Wanasema wao hawapendi kabisa kujichora tattoo, surprisingly wao wanapenda sana wadada wanaojichora tattoo.

Huwa wanaume ni viumbe waongo sana, halafu wadada bado hawajang'amua hilo.
Mmoja wapo ana tattoo mmoja ndio hawezi kuchora
 
Usiweke tattoo mpenzi enhee huwa tunaoa wasio na tattoo ila tunatumia wenye tattoo
 
Kwa utamaduni wetu kuwa na tattoo unaonekana mhuni, ila kwa tamaduni za wazungu tattoo ni kitu cha kawaida.

Mimi nikaenda bar nikakuta mdada anavuta sigara na ana matattoo najua yupo kazini, anauza. Na mara nyingi inakuwaga hivyo.
 
Yaani mwanamke mwenye tattoo anaonekana kuwa ameshindikana. .ni bonge la Paka

Yaani ni sawa na wanaume wapenda jicho Huwa wanapenda kuwala michepuko ...Lakini wanapinga vikali kabisa wake zao kuliwa jicho na hawajaribu kabisa kuwafanyia hivyo wake zao .....

Hii inadhihirisha jinsi ambavyo hao wanaume wapenda tattoo huwa wanapenda wanawake wanajichora hiyo michoro kwa sababu huwa Wana waona kama sex machine
Mimi mwenyewe napenda Tattoo ya mwanamke kiunoni ...

Maajabu mke wangu akiniletea hizo mambo za kuchora tattoo naweza nikamlamba Keleb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…