hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Jul 8, 2019 #381 You said it all Melanny said: Siku chora afu kuwa nae. Atakutumia na kukudump kisha anaoa ambaye Hana tattoo yoyote hata ya kusingiziwa tu. Wanaume akili zao wanazijua Wenyewe tu. Akili kumkichwa chako Click to expand...
You said it all Melanny said: Siku chora afu kuwa nae. Atakutumia na kukudump kisha anaoa ambaye Hana tattoo yoyote hata ya kusingiziwa tu. Wanaume akili zao wanazijua Wenyewe tu. Akili kumkichwa chako Click to expand...
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Jul 8, 2019 #382 Hahaha Kuna mazingira ya 3some hapo..yanatafutwa Ubavu said: Wamekuona we chizi wanataka kufanya jaribio ili kupata majibu... Click to expand...
Hahaha Kuna mazingira ya 3some hapo..yanatafutwa Ubavu said: Wamekuona we chizi wanataka kufanya jaribio ili kupata majibu... Click to expand...
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 45,678 Reaction score 63,304 Jul 8, 2019 #383 MIGUGO said: Kwa waTZ wengi tattoo awe nayo mchepuko ika sio mke.Na wengi wakiona tattoo ndom lazima itumike.Yaani hujua huyo ni kahaba aliekubuhu. Click to expand... Kabisa
MIGUGO said: Kwa waTZ wengi tattoo awe nayo mchepuko ika sio mke.Na wengi wakiona tattoo ndom lazima itumike.Yaani hujua huyo ni kahaba aliekubuhu. Click to expand... Kabisa
Jodeo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 1,286 Reaction score 1,328 Jul 8, 2019 #384 Ukitaka kuchora utangaze tender na nita-bid. Mimi nachora hadi kwenye ulimi
Jodeo JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 1,286 Reaction score 1,328 Jul 8, 2019 #385 Mzigua90 said: Kwanini sasa? Hata mimi napenda mwanaume mwenye tattoo mkononi ila sidhani kama nitapenda mume wangu awe nayo Click to expand... Kwa hiyo unataka mwenye tattoo akutooo... basi!
Mzigua90 said: Kwanini sasa? Hata mimi napenda mwanaume mwenye tattoo mkononi ila sidhani kama nitapenda mume wangu awe nayo Click to expand... Kwa hiyo unataka mwenye tattoo akutooo... basi!
Mgeni wa Jiji JF-Expert Member Joined Jul 27, 2017 Posts 9,758 Reaction score 18,431 Jul 8, 2019 #386 FK21 said: Wewe umewajuaje kama sio mdau? Click to expand... Mi ni mdau wala sikatai, vip nkupe link na wewe uwa follow Mkuu?, kuwa na account ni free hawaitaji Paypal yako [emoji626]
FK21 said: Wewe umewajuaje kama sio mdau? Click to expand... Mi ni mdau wala sikatai, vip nkupe link na wewe uwa follow Mkuu?, kuwa na account ni free hawaitaji Paypal yako [emoji626]