Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Mimi sipendi tattoo... nadhani Dini sijui ndiyo imenikuza hivyo.

Nikiona tatto napoteza mvuto kwa mtu...

Hawa watu nimeshindwa kufuatilia muziki wao kisa cha tatto...Lil na Scot Travis.
 
dah me mwanamke ambae anachora tatoo huwa namuona malaya kwani kuna jamaa yangu ni mchora tatoo kila siku anawatomba wa dada hasa hao wanaotaka kuchotwa tatoo za kiuno na sehemu nyingine za siri maana akishikwa tu imo kifuatacho itv kinajulikana
Ndio jamii inavyochukulia hivyo na hata mimi nilikua najua wanaume wanaona wanawake wenye tattoo ni malaya.
Kwenye hao wanaopenda tattoo nadhani mmoja wapo anapenda mwanamke mwenye muonekano wa kimalaya (kama jamii tunavyochukulia), Ex gf ambae alimvalisha pete ya uchumba kabisa katoboa kila kitu na tattoo kama zoteee.
 

Nakupa ushauri mmoja tu, usichore tattoo, usimshauri mwanao kuchora tattoo.

It is simple as that.
 
Lakini yeye hana tatoo na hawezi kuchora tatoo= hayo maelezo yana maana kubwa sana kama ukiamua kudadisi kwa kina. Binafsi mwanamke hata awe mrembo / mzuri kiasi gani akishakuwa ana tatoo siwezi mfuck ( usiniulize kwanini)
 
Siku chora afu kuwa nae. Atakutumia na kukudump kisha anaoa ambaye Hana tattoo yoyote hata ya kusingiziwa tu.
Wanaume akili zao wanazijua Wenyewe tu.
Akili kumkichwa chako
Bora nichore kwa maamuzi yangu.
Kuna imani kwamba ukichora kwa ajili ya mapenzi lazima muachane.
Siwezi kuchora tattoo kwa na kumchorea mtu ndio kabisaaa.
Nawaambiaga rafiki zangu nikifika miaka 40 nitachora tattoo ya majina ya watoto wabgu.
 
Nadhani ni suala la preference tu.

Mimi napenda ‘tramp stamps’. Zaidi ya hapo si mpenzi sana wa tats.

Something about ‘tramp stamps’ I find to be super sexy.

Shouts out to Brittany from Austell....her ‘tramp stamp’ is on point.

 
Tattoo moja au mbili si mbaya lakini umejaza tattoo mikononi, makalioni, mapajani, kiunoni na mgongoni kwangu mie ni uchafu. Ila nimewahi kuona tattoo za kiunoni urembo fulani hivi zinapendeza sana.
Hata mimi naonaga mwanamke kuwa na matattoo mengi ni uchafu. Ila moja au mbili zenye rangi nzuri urembo mzuri tuu
 
Mimi sipendi tattoo... nadhani Dini sijui ndiyo imenikuza hivyo.

Nikiona tatto napoteza mvuto kwa mtu...

Hawa watu nimeshindwa kufuatilia muziki wao kisa cha tatto...Lil na Scot Travis.
Looh. Wanamuziki wengi wana tattoo lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…