Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
- Thread starter
- #21
Kwanini sasa?Mimi mwenyewe napenda Tattoo ya mwanamke kiunoni ...
Maajabu mke wangu akiniletea hizo mambo za kuchora tattoo naweza nikamlamba Keleb
Hata mimi napenda mwanaume mwenye tattoo mkononi ila sidhani kama nitapenda mume wangu awe nayo