Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Ukikutana na Bwana anapenda tattoo bhasi jua ni muhuni flani ambae mnapotezeana tu muda
Sasa huyu mmoja alimuengage mwanamke wake kabisa.
Nilimuuliza uliwezaje kumpeleka kwenu na tattoo zile na kujitoboa ulimi pua juu ya jicho na kwenye kidevu.
Alinijibu tu nilikua naoa mimi sio familia na walinielewa japo najua walikua waninashangaa na yule mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unapenda mlume mwenye tatoo

Ila hutaki mumeo awe na tatooo

Hueleweki!!!!!!
Ndio. Nikiona mwanaume mwenye tattoo napenda.
Na sikumbuki kudate mwanaume mwenye tattoo pia.
Ila nikiona mwanaume anayo nafurahi tu kuiangalia
 
Mie sipendi tattoos zenu za mjini hizo
Kule kijijini kwetu demu wangu Nyanzige amejichora kwenye mapaja kwa kutumia korosho akaandika neno "I love u Mbwa dume"
 
Ndio. Nikiona mwanaume mwenye tattoo napenda.
Na sikumbuki kudate mwanaume mwenye tattoo pia.
Ila nikiona mwanaume anayo nafurahi tu kuiangalia

Kuna kitu unachofikilia kichwani na hujataka kuweka wazi.

Mtu hujipamba ili Aonekane, humo kiunoni na mapajani unajipamba waone akinanani vile?
 
Kabisa na baadhi ya ME huwaona wenye tattoo nyingi kama malaya vile pamoja na kuwa wanaweza kabisa kuwa si malaya. Nafasi ikiruhusu nitaweka picha ya mrembo mwenye hizo tattoo chungu nzima mikononi na mgongoni yeye mwenyewe bila ya shaka anaona ni urembo lakini mimi naziona ni uchafu.

Hata mimi naonaga mwanamke kuwa na matattoo mengi ni uchafu. Ila moja au mbili zenye rangi nzuri urembo mzuri tuu
 
Christina out there all tatted up....but she’s a retired Philly stripper...

 
Mmoja atakuambia anapenda uweke kiunoni
Atakuacha au utamuacha na utapata mwingine atasema anapenda uweke ya shingoni ili awe anaibusu na wewe kwa kuona umependwa utaweka
Mwingine atakuomba uweke kwenye kalio

Mwisho wa siku utakuwa kama atlas
 
napata picha mama wa familia ana tattoo.
kwangu ukichora tattoo naanza kutathmini busara yako.
Rafiki yangu mmoja kaolewa na mwanaume mtata balaaa. Sasa na yeye ana tattoo kiunoni halafu ya play boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa umri wako haya unayoyaandika nakuona kama hauko serious..(either hauko serious na maisha yako or hauko serious kwenye uandishi wako) sa sijui lipi ni lipi.
 
Lakini yeye hana tatoo na hawezi kuchora tatoo= hayo maelezo yana maana kubwa sana kama ukiamua kudadisi kwa kina. Binafsi mwanamke hata awe mtembo / mzuri kiasi gani akishakuwa ana tatoo siwezi mfuck ( usiniulize kwanini)
Kwanini?
 
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
 
Mwanaume utakayekuwa naye kwenye uchumba akakwambia anapenda tigo ukampa hatakuoa, ni almost sawasawa na issue za tattoo.
Nilipewa story na rafiki yangu kuhusu mkaka tunamjua alikua anakula tigo gf na ilibaki kidogo amuoe. Nilishangaa na nashangaa sana ambavyo wanaume wanachukulia wanawake wanaotoa tigo halafu mwingine apewe na atake kuoa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…