Kwani nakua nimechora ili wanaume muone? Mbona cheni za viuno au shanga hamuoni wanaume wote?
Ndo ujuwe sio sahihi
Taa huwashwa ili iangaze watu waone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nakua nimechora ili wanaume muone? Mbona cheni za viuno au shanga hamuoni wanaume wote?
Basi jaribio lao limegonga ukuta.
Nafanyaga vitu kunifurahisha sio kumfurahisha mtu hasa kwenye mahusiano
Sasa huyu mmoja alimuengage mwanamke wake kabisa.Ukikutana na Bwana anapenda tattoo bhasi jua ni muhuni flani ambae mnapotezeana tu muda
Hata mimi naonaga mwanamke kuwa na matattoo mengi ni uchafu. Ila moja au mbili zenye rangi nzuri urembo mzuri tuu
Mie sipendi tattoos zenu za mjini hizoKuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.
Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.
Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.
Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
Ndio. Nikiona mwanaume mwenye tattoo napenda.
Na sikumbuki kudate mwanaume mwenye tattoo pia.
Ila nikiona mwanaume anayo nafurahi tu kuiangalia
Hata mimi naonaga mwanamke kuwa na matattoo mengi ni uchafu. Ila moja au mbili zenye rangi nzuri urembo mzuri tuu
Rafiki yangu mmoja kaolewa na mwanaume mtata balaaa. Sasa na yeye ana tattoo kiunoni halafu ya play boy [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]napata picha mama wa familia ana tattoo.
kwangu ukichora tattoo naanza kutathmini busara yako.
Kwa umri wako haya unayoyaandika nakuona kama hauko serious..(either hauko serious na maisha yako or hauko serious kwenye uandishi wako) sa sijui lipi ni lipi.Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.
Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.
Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.
Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
Kwanini?Lakini yeye hana tatoo na hawezi kuchora tatoo= hayo maelezo yana maana kubwa sana kama ukiamua kudadisi kwa kina. Binafsi mwanamke hata awe mtembo / mzuri kiasi gani akishakuwa ana tatoo siwezi mfuck ( usiniulize kwanini)
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]Nadhani ni suala la preference tu.
Mimi napenda ‘tramp stamps’. Zaidi ya hapo si mpenzi sana wa tats.
Something about ‘tramp stamps’ I find to be super sexy.
Shouts out to Brittany from Austell....her ‘tramp stamp’ is on point.
Nilipewa story na rafiki yangu kuhusu mkaka tunamjua alikua anakula tigo gf na ilibaki kidogo amuoe. Nilishangaa na nashangaa sana ambavyo wanaume wanachukulia wanawake wanaotoa tigo halafu mwingine apewe na atake kuoa kabisaMwanaume utakayekuwa naye kwenye uchumba akakwambia anapenda tigo ukampa hatakuoa, ni almost sawasawa na issue za tattoo.