Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
Ndio mchumba. Ndio maana tattoo napenda ila naamini kwenye huo msemo wa sio kila tunachokipenda lazima tukifanye au kuwa nacho.
sure,kwa mwandiko wake tu.you and them are both thots
Kila sehemu.. mtiririko wa mawazo umefanana na ule wa mtoto wa miaka 13, mtu mzima hawezi akawa na mawazo ya aina hiyo ndio maana nasema hauko serious.Embu sema siko serious wapi kwanza ukisema na wewe huelewi unanipa mtihani
Sasa si nimeelezea kushangazwa kwangu na hili jambo la tattoo.Kila sehemu.. mtiririko wa mawazo umefanana na ule wa mtoto wa miaka 13, mtu mzima hawezi akawa na mawazo ya aina hiyo ndio maana nasema hauko serious.
Nijichoshe kwa kipi.hiyo ni analysis tu ya maandishi yako unaonekana ni demu wa aina gani.Hainisumbui unavyoniona mkuu usijichoshe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ndio mambo za jf akitoka apa anaenda kushikashika kiuno chenye tattoo ya mpenzi wakeBwana weee.
Watakatifu kama kawaida yetu tupo
Itakusumbuaje sasa!ndo maana ukaandika jf kupata soko.Ndo nikasema hata ukiniona hainisumbui we ona tuu.