Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Kila sehemu.. mtiririko wa mawazo umefanana na ule wa mtoto wa miaka 13, mtu mzima hawezi akawa na mawazo ya aina hiyo ndio maana nasema hauko serious.
Sasa si nimeelezea kushangazwa kwangu na hili jambo la tattoo.

Kukutana na watu wanauliza kwanini sina tattoo nimeona ni ajabu kwangu kwa kweli.
 
Back
Top Bottom