Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

wewe unafikiri aliachika!!!??
 
Mwanaume aliyekamilika hapendi dharau na aibu ndogo ndogo, umlishe, umpe kila hitaji aliyetelekezwa leo udharauliwe?
Nisingeenda mahakamani but siku hiyo hiyo angeenda kuzika anakokujua na asirudi milele
umetisha
 
Sijaona tatizo, huyojamaa anataka kuleta ulimbukeni.. kama hataki msiba uwepo nyumbani kwake aseme tu, sio kumzika mtu kwa imani isiyo yake.

Sijaona kosa la singo maza hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…