Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Huyo Jamaa Mkatoliki alijifanya ana Mahaba sana akalea mtoto wa mwanaume mwenzie.Kwahiyo mchizi aliwahi sentro mwenyewe 🤣🤣🤣
Ona sasa.
Bado mwanamke anathamini imani ya mume wake wa mwanzo aliyemtelekeza akiwa na mtoto mchanga wa miezi sita
Kalagha bahoo!!!
Hawa bado wanapasha viporo sana tu😅😅😅