Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Mazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.

Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.

Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
 
Mazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.

Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.

Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
Kwanini uwasiliane na mtu ambaye si mumeo?
 
Huna akili,kwa sababu umemkuta na mtoto wa miezi 6 unafikiri ndiyo unaona ni mwanao na una haki ya kuamua mtoto azikwe vipi!
Najua ni wewe mwenyewe.
 
Kuanzia leo sitalaumu kebehi zinazoelekezwa kwetu. Nilitamani sana nisichangie hii mada, ila kwa namna friji langu haligandishi acha niserereke. Aliyeturoga ni nani?? Upendo wa baba wa watu, leo umegeuka kejeli kwake..unamzomea right in his face. Siangalii sana mambo ya dini maana dini zina wenyewe, ninachoujiuliza is this woman in her right state of mind??

Hili jambo lilikua ni la kukaa chini na kusikilizana, lakini mpaka global tv unahojiwa, unadiriki kusema au kisa we baba una hela!! Hela zake hukuzikataa kipindi ameamua kukufuta machozi ya kukataliwa?? Sisi ndio tunaowafanya wanaume wawe the so called "mbwa". We are the ones who created them, nonsense..
 
Pombe kidogo tu! Unajuaje labda jamaa likilewa linajisaidia hovyo hovyo!
 
Baba mzazi wa mtoto anasemaje?
Asichokijua mzazi wa kufikia ni kwamba mbinguni hauendi kwa kuzikwa kikristo. Ni maisha kabla ya kufa ndiyo yanayoamua utakakokwenda. Ingekuwa arusi sawa.Ila siyo jinsi ulivyozikwa .Mungu huwa hapokei roho ya mtu aliyekufa kabla ya kutubu.So mashindano ya hivyo hayana maana yoyote kabisa
 
Hao ndivyo walivyo. Kuzaa azae mwingine wewe usilimishe hata maiti! Ujinga na ubinafsi mtupu. Acha mama azike mwanae atakavyo
 
Msalimu
 
Inaumiza sana aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…