Nilikuwa nawatetea sana singo mama lakini kwa hili la huyu mama limenikata maini kabisa

Kwahiyo mchizi aliwahi sentro mwenyewe 🤣🤣🤣
Huyo Jamaa Mkatoliki alijifanya ana Mahaba sana akalea mtoto wa mwanaume mwenzie.

Ona sasa.

Bado mwanamke anathamini imani ya mume wake wa mwanzo aliyemtelekeza akiwa na mtoto mchanga wa miezi sita

Kalagha bahoo!!!

Hawa bado wanapasha viporo sana tu😅😅😅
 
Ni hivi. Mwanamke aliishi na jamaa akifuata uume na jamaa hakuwa mume ie alikuwa akilishwa na kivikwa tu. Ukiwa hivi lazima mwanamume udharaulize tu. Mwanaume unakuwa na sauti kwa mwanamume unapokuwa na pesa tu zikiisha ni sawa umuonavyo mwanamke ukishakitupa. Kama ng'ombe tu.
 
wakati yeye na mwanae wanatumia pesa na mali za mzee na kutunzwa nae hakuona kama mtoto ni muislam akalelewe huko ??

ALikubali matunzo ya mtoto wa kiislamu kutoka kwa mkristo kwa miaka yote hiyo leo hii akatae tu kufukia mtoto?

Kwa kujidhalilisha huku na mumewe msiba ukiisha anarudi kwenye ndoa yake na mkristo au anaenda kwa aliyemuacha na kichanga cha miezi6 akapewe kingine???
 
Taratibu Dada sio sisi 😄😄😄
ni hao hao shankupe wanaowaonaga wanafaa Sana
Wanaume wengi hawataki wanawake wenye misimamo
Wanataka walio wepesi wepesi tu
Ndio hao wanawasumbua uzeeni
 
Mazishi yakafanyike huko kwa akina mwanamke.

Ni vema pia kuheshima maamuzi ya mwenye kaya.

Sasa hapo fikiria, marehemu anampambania azikwe kwa dini ya mumewe. Je, angekuwa hai mtoto? Ungemkataza kutowasiliana na babaye? Ungemkataza kukutana naye?
Akazikwe kwa baba yake si yuko hai? Na mwanamke apigwe talaka haraka inaonekana ana mawasiliano na baba wa marehemu
 
Hata ukiwa nyumbani kwake bado haiathiri chochote kwa mwanaume tena ndio itaonyesha ukomavu wake wa akili na upeo wa maisha sote tunapita vitu kama misiba sio vya kuleta kupishana kauli
Ili Maza azidi kutamba kamuweka kiganjani tajiri wa kichaga??😂😂
 
Hao ndivyo walivyo. Kuzaa azae mwingine wewe usilimishe hata maiti! Ujinga na ubinafsi mtupu. Acha mama azike mwanae atakavyo
Naunga na huyo mwamba. Mwamba hata ibada za maziko za dini asiyoiamni nyumbani kwake. Period
 
Sisi wazee wako tunashukuru kwa mchango wako,ubarikiwe
 
Kabla hujasema hili jambo,tuletee makubaliano Yao ya awali

Usisimamie TU ,alimkuta na mtoto miezi 6
 
Yaani nakuunga mkono hapo tu kwenye kutooa singo maza lakini haya mengine kama mwanamke kataka mwanae azikwe kiislamu na sio mtoto wako kwann usimpe nafasi akamaliza maziko kwani itapunguza nn kwenye nyumba yako
Wewe ni mwislam?
 
Tunawaambia mnatuona wajinga😅😅😅

Na huyo mwanaume mkatoliki alikuwa fala sana.

Unaoa mwanamke aliyezaa mtoto miezi sita kwa mwanaume mwingine? Huyu K si bado imelowa Mboo ya jamaa??
Mapenzi upofu
 
Mwanamke Hana Akili huyu,matako yake.Pia huyo anayeng'an'gania mtoto ni mwanaume wa hovyo, mambo yalikuwa yakuelewana tu haya.Kweli singo mazaz ni bomu.
 
We ndio uliyemuoa huyo singo mama, acha kunywa pombe kila siku tenga siku za weekend tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mwanaume aliyekamilika hapendi dharau na aibu ndogo ndogo, umlishe, umpe kila hitaji aliyetelekezwa leo udharauliwe?
Nisingeenda mahakamani but siku hiyo hiyo angeenda kuzika anakokujua na asirudi milele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…