Nilikuwa nimekariri watemi kina Nyatsimba Mutota nikiwa sekondari sijaona msaada wake, ama kweli nilipoteza muda

Nilikuwa nimekariri watemi kina Nyatsimba Mutota nikiwa sekondari sijaona msaada wake, ama kweli nilipoteza muda

Regret is a waste of time, anza sasa kujifunza kitu kinachogusa tumbo lako moja kwa moja.
 
NIUPUMBAVU NA UANITHI WA AKILI TU KAMA VILE WAISLAMU WANAVYO ANGAIKA KUIFADHI QURANI...HAKUNA FAIDA YOYOTE NI KAMA WINGI WA MAKANISANI AU MISIKITI HAVINA FAIDA YOYOTE KWA TAIFA
Naheshimu mawazo Yako lakini ni VEMA heshimu Imani za watu
 
Naheshimu mawazo Yako lakini ni VEMA heshimu Imani za watu
Basi hata ushoga ni wakuheshimiwa ...kwanza kabisa hakuna watu duniani wasio heshimiana kama watu wa dini ndiyo maana kuna damu nyingi zinazo mwagwa kidini ..kamwe muislamu awezi kuheshimu ukristo na mkristo awezi kuheshimu uislamu wala muislamu kuheshimu uyahudi au ubuda au uhindu ...ukisikia kauli ya kuheshimu imani za watu wewe tambua tu kuwa hiyo kauli ni kichaka cha wapumbavu kuficha maovu yao.
 
Leo ni ijumaaa najianda Kwa swala ya IJUMAA, nitafute siku NYINGINE nikupe unacho staili sipendi kutukana Huwa majibu Kwa ukali na silaha zangu zote, sisimizi akinichokoza Huwa na mdbhibiti Kwa rungu puuuh, sijali ana umbo dogo,

yu bela wochi yua Baki
 
Nakumbuka nilikariri hadi matarehe ya vita zao lakini hadi sasa najuta nilipoteza sana muda.

Muda huo heri ningejifunzaga hata kupalilia matuta ya kunipa chakula
Muda huo heri ningejifunzaga hata kupika nizijue survival skills
Muda huo heri ningejifunzaga kunyoa nijifunze mbinu za kujiingizi kipato
Noma sana.

Mtemi isike
Mtemi Mirambo
 
Back
Top Bottom