Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

Baki kuwa mpumbavu!
 
wewe unawasiwasi na thinking capacity yangu, huwezi amini, nimekuacha sana tuu! usibabaishwe na muandiko wangu!
 
Kwani wewe ni nani binti???? iUnayemdharau kwa sasa ni mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani Tanzania, KUB na mmoja kati ya matajiri wakubwa nchini. Wewe ukiachia hiyo mimba ya Bashite uliyobeba, una nini kingine binti???
 
Km mpaka ss hivi wewe si mpenzi n hujui umuhimu wa upinzani unashida kwenye akili yako jitafakari
 
hapana, mimi nina uwezo wa kukupa mimba wewe hata kama ni mwanaume!
 
hapana, mimi nina uwezo wa kukupa mimba wewe hata kama ni mwanaume!
Umaskini unakusumbua tu binti, Mbowe ana kila kitu ambacho wewe na familia/ukoo wenu wote hamna na hamtapata mpaka mnakufa! Nyie mafisi wa kijani na baba yenu Meko mna roho mbaya hata shetani kuna kitu anajifunza kutoka kwenu!
 
mkuu habari za Geita , Ni hivi Maamuzi ya Kamati Kuu si Maamuzi ya Mbowe .
 
Hivi kwa mfano wewe ndo mwenyekiti wa chama harafu mbunge wa chama chako anasimama anasema yeye uchaguzi ujao hatagombea kupitia chama chako, na kuanzia muda huo yeye si mwanachama wa chama chako na anayaongea hayo yupo bungeni kabisa,, chama kinaazimia hiki yeye hataki kufuata maazimio, hebu chukulia wewe ndo mwenyekiti ungemfanyaje mtu kama huyo?
 
Umaskini unakusumbua tu binti, Mbowe ana kila kitu ambacho wewe na familia/ukoo wenu wote hamna na hamtapata mpaka mnakufa! Nyie mafisi wa kijani na baba yenu Meko mna roho mbaya hata shetani kuna kitu anajifunza kutoka kwenu!
mbowe anafedha? wewe unanini? maisha ya mbowe yanahusiana nini na wengine, hebu tumia ubongo kufikiri na sio miguu!
 
Wewe sema tuu, nilekebishe, mambo ya kujizungusha hayawezi kusaidia kitu, wewe nimwalimu wa kiswahili ni sawa tunatofautia kazi mkuu"
Nilekebishe!
Tafadhali sana mkuu, jamiiForum ni mtandao mkubwa sana na unatembewa na watu makini, kama hujui kuandika tunakuomba ukae pembeni uwe msomaji tu kuliko kutuandikia upumbavu wako wa kukosea herufi
 
Nilekebishe!
Tafadhali sana mkuu, jamiiForum ni mtandao mkubwa sana na unatembewa na watu makini, kama hujui kuandika tunakuomba ukae pembeni huwe msomaji tu kuliko kutuandikia upumbavu wako wa kukosea herufi
sipo hapa kushindana muandiko nipo hapa kuwasilisha maana, ni kama vile tusivyo ongea kiswahili fasaha, wewe mwenyewe masikini tuu, unapiga mikelele hapa!
 
ninakuelewa mkuu.
 
mbowe anafedha? wewe unanini? maisha ya mbowe yanahusiana nini na wengine, hebu tumia ubongo kufikiri na sio miguu!
Mimi naweza nisiwe na fedha lakini sina roho ya umaskini kama wewe ya kumchukia mtu kwa sababu amenizidi kipato. Wewe thread yako ni ya kupambana na Mbowe kwa sababu tu anawasumbua bwanako Meko na Wifi yako Bashite!
 
Km mpaka ss hivi wewe si mpenzi n hujui umuhimu wa upinzani unashida kwenye akili yako jitafakari
najua umuhimu wa upinzani lakini si kupinga kila kitu, kitu gani chadema hawajapinga hususanikatika maendeleo! binafsi ninashabikia zaidi maendeleo ya wananchi na sio uchama\!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…