upinzani ninacho kiona zaidi kwenu na mashabiki kama ninyi,ni lugha za matusi matusi, hapo ndipo mnaweza hivi kila mpinzani shariti lazima awe anajua kutukana!Mimi naweza nisiwe na fedha lakini sina roho ya umaskini kama wewe ya kumchukia mtu kwa sababu amenizidi kipato. Wewe thread yako ni ya kupambana na Mbowe kwa sababu tu anawasumbua bwanako Meko na Wifi yako Bashite!
Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.
Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.
Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.
Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Hubebeki kabisa!! Umerudia kosa tena. Siyo "nilekebishe" bali ni 'nirekebishe'Wewe sema tuu, nilekebishe, mambo ya kujizungusha hayawezi kusaidia kitu, wewe nimwalimu wa kiswahili ni sawa tunatofautia kazi mkuu"
Muandiko!sipo hapa kushindana muandiko nipo hapa kuwasilisha maana, ni kama vile tusivyo ongea kiswahili fasaha, wewe mwenyewe masikini tuu, unapiga mikelele hapa!
Hasaidiki huyu. Yaweza kuwa ni la saba kama ulivyohisianalingia kazi yake ya u teacher wa kiswahili tandaimba shule ya msingi.
Tutasikia mengi. Haya natega sikio vizuri.Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.
Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.
Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.
Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Haya matakataka kama huyu mtoa mada ndiyo yamejaa CCMMuandiko!
Dah wewe ndugu umeshindikana kwa ujinga.
Ngoja nikuache usije kuniambukiza huo ujinga wako
PHD= Pengine Huna Digriiwhat if i'm a PHD?
Unamaanisha nini au walsihapenyeza
[emoji1][emoji1][emoji1]Upinzani wakamvuta Lowasa. Kisha mara tu baada ya uchaguzi CUF wakajitoa kwa mgombea mwenza kuongea shit hadharani.
Kufikia pale nikajua kujadili hata siasa ni kujichosha. Wawekeze kwenye research & dev waone wanakosea wapi.