Nenda CUFBaada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.
Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.
Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.
Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Mkuu biashara inaendeleaje?Upinzani wakamvuta Lowasa ambaye walimsema kama fisadi, na utetezi eti siyo yeye ni mfumo. Kisha mara tu baada ya uchaguzi CUF wakajitoa kwa mgombea mwenza kuongea shit hadharani.
Kufikia pale nikajua kujadili hata siasa ni kujichosha. So siku hizi naona hawa wote sawa tu. Vigeu geu, wanafiki, hawajui mTz wa kawaida anaishije.
Yanii kama wewe ni PHD duuuu!!!! Itakuwa no fedheha Sana'a kwa ma PHD holder maana ni aibu kwanzia post yako ya kwanza na majibu unayo yatoa.what if i'm a PHD?
Mkuu sio kweli, naanza kuamini kuwa Chadema ni watu makini Sana kwenye mambo hasa ya kutetea haki za watu, Ila ni wajinga na mazwazwa kwenye vitu na mambo ya kiongozi wao! Hata mnune ukweli ndio huo,"Nimewadhalau" baki huko huko upinzani hakukufai wanatakiwa watu makini.
Iko vibaya, nauza ofisi nzima.Mkuu biashara inaendeleaje?
Tofautisha agizo la chama na agizo la mwenyekitiHakuna anayeweza kuwa mwanachama was chama fulani bila kufuata agizo la chama. Ukienda kinyume na maagizo ya chama utafukuzwa tu.
Chadema ile ya Dr Slaa ilikuwa bomba sana, lakin hii ya kina Mdee ni matatizo matupuKwa kweli Ccm ya awamu ya nne ilikuwa bomba imekuja kuharibiwa na hawa wachunga Ng'ombe kutoka Bush stars na Mzee Meko wao
bora wewe,unaonekana mchembuzi katika 10, ni watu kama 2 au 1 wanao jielewa, chadema ni chama kizuri, lakini kwa sasa dira inapotea, chimbua undani wake na system zao, utajua ninacho maanisha! unawafahamu wakina lowasa na sumaye ndani ya chadema na si ccm?Yanii kama wewe ni PHD duuuu!!!! Itakuwa no fedheha Sana'a kwa ma PHD holder maana ni aibu kwanzia post yako ya kwanza na majibu unayo yatoa.
Binafsi naomba kukuuliza hivi kati ya Chadema na Selasini, komu na Rwakatare alieanza kukikacha chama ninani?
Hawa kumbuka walikuwa viongozi tena vingunge kwelkweli komu kasema anahamia Nccr Selasini pia, Rwakatare akadai hagombei tena Which means anakaa bench. Sasa kwanini wawavuruge wenzao maana yote hayo kumbuka Chama kiliendelea kuwavumilia na kuacha waemdelee kwa maana kila mtu anamitazamo yake.
Silinde binafsi namshangaa sana Mbowe anawaamini sana vijana na anawapa Platform lakini wanamuangusha mnoo. Huyu dogo kunasiku atajutia maamuzi yake hapa ni swala la mudatuuu.
Kwa ujumla nikwamba mipango yao nikutaka kuvuruga misimamo ya chama na inshu hapa siyo mbowe CHADEMA ni Taasisi.
In positive way hatutakiwi kufurahia haya yanayo endelea kwenye Nchi yetu kama wasomi na watu tunao jielewaa. Tujenge demokrasia chanya na siyo maneno na figisufigisu za wazi kabisa ambazo hata watoto wetu wanatushangaa maana leo hii mtoto akikuliza yanayoendelea bungeni huwezi hata kumwelimisha maana nichanganyikeni.
Kama kawaida yako, HAUPITWI!Chadema ni wahuni
Mbowe pale yupo kwenye biashara wateja ni nyumbu
Mimi ni una apologetic CCM member wa siku nyingi.Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.
Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.
Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.
Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Ana kila kitu ? Hata uzima wa milele anao ? Acha kujitekenyaUmaskini unakusumbua tu binti, Mbowe ana kila kitu ambacho wewe na familia/ukoo wenu wote hamna na hamtapata mpaka mnakufa! Nyie mafisi wa kijani na baba yenu Meko mna roho mbaya hata shetani kuna kitu anajifunza kutoka kwenu!
Hoja yako ni nini hapa? Mwenyekiti kafanya nini? Hayo ni maamuzi yamefanywa na Kamati Kuu kwenye kikao cha kamati kuu. Hii hoja ya kuitwa kujieleza msingi wake ni nini pale ambapo Chadema kwenye Katiba yake imeweka kipengele ambacho kiongozi (wabunge) anaweza kufurushwa bila hata kuitwa kujieleza endapo kamati Kuu itabaini kosa lililofanywa na mhusika ninaweza kuathiri maslahi ya chama?Baada ya muda mrefu kuona muelekeo wa CCM haukuwa mzuri japo kuwa kipindi hiki cha awamu ya 5, naona mabadiliko makubwa kidogo nje na hayo mapungufu mengine. Mbowe amechemsha, nimeamua kuwadharau Chadema kwa kukubaliana kirahisi na maamuzi ya mwenyekiti wao, kwa maana hiyo mwenyeketi akisema jambo basi ni sawa, watu hawapewi hata warning letter, watu hawapewi nafasi nyingine ya kujitetea.
Itikadi ya chama, jina la chama, haliendani na uhalisia wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo. Chama kina prove failure, kwa kutokujua hata maana ya demokrasia, mwenyekiti na watu wake wote hamna kitu.
Ninapata ukakasi kufanya imagination ya endapo mmepata nchi. Msiniambie mtafanya maendeleo zaidi ya haya ya awamu ya 5 au na ninyi ndio walewale waongea maneno mengi kuliko vitendo.
chadema ni chama chenye uchu wa madaraka, chadema wanapokea watu kutoka CCM, waje kuwa viongozi kwa vile wameshindwa kule CCM wanakuja na huku chadema kujaribu baati zao, chadema kimekuwa chama cha kuchezesha baati na sibu dhidi ya viongozi walio shindwa kutoka katika chama cha CCM, Lowasa, sumaye NK. CHADEMA ni one man fight, akishapata anawapiga chini, miaka nenda rudi, mbowe yeye pekee ndiye mwenyekiti wa chama.
Hivi mwenyekiti wa Chadema anachaguliwa au amejichagua, mbona kama dectator hivi? Design kama hataki wengine washike wadhifa, alafu design kama neno lake ni sheria, hapana, ni uhuni huu sasa.
Nipo njiapanda, sio CCM wala Chadema kwa sasa.
Unajichanganya sana..hebu nyosha maelezo yako!CHADEMA, inajidhalilisha, hata katika masuala ya kupambana na corona inaonyesha dhahili upungufu wa mwenyekiti na uelewa wa wanachama wao, ni shida, nyinyi mnajiweka karantini, alafu wabunge wengine wanaendelea kujikusanya, kama corona, bado hamjaishinda labda kuna siasa zinginezo nyuma ya pazia!
Yes, anao uzima wa milele. Mliharibu shamba lake mkafikiri mtamfanya awe maskini ombaomba, mkamfukuza NHC mkiwaza kuwa mmemmaliza lakini anaendelea kudunda! Mna roho mbaya sana!
double standards sikuizi chama kimeanza kuwa kama ccm ya awamu ya 4.Hoja yako ni nini hapa? Mwenyekiti kafanya nini? Hayo ni maamuzi yamefanywa na Kamati Kuu kwenye kikao cha kamati kuu. Hii hoja ya kuitwa kujieleza msingi wake ni nini pale ambapo Chadema kwenye Katiba yake imeweka kipengele ambacho kiongozi (wabunge) anaweza kufurushwa bila hata kuitwa kujieleza endapo kamati Kuu itabaini kosa lililofanywa na mhusika ninaweza kuathiri maslahi ya chama?