Nilikuwa nina muelekeo fulani upinzani lakini kwa haya nimewadharau kabisa

unafanya assumption, ok elimu yako ya kukalilishwa ndiyo inayo kupa jeuri? thinking capacity yako ni shida!
Hujui kuwa HUJUI na bado wabisha. Changa changa ukasome QT
 
idiot kabisa, wewe unaweza hata kuolewa na mbowe, huoni shida za upinzani unaona dhalau tuu!
Siyo 'dhalau' bali ni "dharau". Huyu mburula wa Lumumba Buk 7 sijui kama hata ngumbaro amesoma
 
kama unayo mbona haikusaidii!!!πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜‘πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜ŽπŸ˜Ž
Dugrii ninayo 2. Zinanisaidia ndiyo maana niko hapa nafanya correction ya mwandiko wako ulio kama bata aliyechamba.

Na sikuachi leo kila post ukikosea kuandika nitakusahihisha mpaka Kichwa chako kikae sawa
 
Binafsi Mimi siyo mwanasiasa ila napenda siasa kwani ndiyo imekuwa kitovu cha kujipatia maendeleo kwa lugha nyingine ndiyo mstakabali wa maendeleo ya Nchi.

Japo sikubaliani na jambo hili kabisa kuwaachia wana siasa Mstabali wa maendeleo ya Nchi na kuwaacha wataalam. Usibitisho was hili angalia watu professional waliopo kwenye siasa hutaamini.
Anyway ninachotaka kutoka kwako ni majibu ya swali langu maana naona kama umeamu kushambulia pasipo kujilizisha na kilichofanywa au maamuzi yaliyo fikiwa na CHADEMA. Tuwe wa ungwana na tuwe na nia ya dhati kushauri, kuonya na hata ikibidi kutoa msaada. Unafiki umetujaa sana na kwa staili hii kama Taifa hatuwezi kwenda popote.

Tunahitaji mawazo mbadalaa. Tusiwe tuna shangilia na kushabikia ujinga ambao mwisho wake ni fedhehaa. Wee onatuu hata yule aliye kuwa anatuaminisha Mama Tanzania sijui nini na nini anachokiwaza na kutenda kwa sasa.

Tulisomeshwa au tulienda shule kufanya nini sasa kama hatuwezi kusaidia jamii yetu?
Tusiwe wanafiki kwa kuangalia matumbo yetutuu. Kina Mwalimu nyerere wangalikuwa hivi hii nchi ingekuwaje?
 
analingia kazi yake ya u teacher wa kiswahili tandaimba shule ya msingi.
Siyo "analingia" bali ni "anaringia". Jina la mji huanza kwa herufi kubwa; usiandike "tandahimba" bali andika "Tandahimba"
 
Dugrii ninayo 2. Zinanisaidia ndiyo maana niko hapa nafanya correction ya mwandiko wako ulio kama bata aliyechamba.

Na sikuachi leo kila post ukikosea kuandika nitakusahihisha mpaka Kichwa chako kikae sawa
kwa hiyo DUGRII yako, kwanini usipeleke kijijini kwenu wakatumie hata kuchambia.
 
Siyo "analingia" bali ni "anaringia". Jina la mji huanza kwa herufi kubwa; usiandike "tandahimba" bali andika "Tandahimba"
mzee wa dungrii!!!!!!!!!! unanifundisha kuandika lugha fasaha!
 
Wewe unajua nini kuhusu chadema au ushabiki tu?
Je wewe kunaunachokijua zaidi? Hapa tatizo ni mwenyekiti tu kuwa firm hakuna jingine mnalo jua ndio mana kila hoja ni Mbowe Mbowe na mlishasema chama kimekufa sasa inakuaje mnahangaika na chama kilichokufa hamlali hampumui na ndio mana mkataka kupenyeza mwenyekiti awe Mwambe au Sumaye ili ajenda zenu za hovyo hovyo zipite kama mtakavyo!!!!ukipenda kusifiwa pia kubali na kukosolewa tu
 
Watanzania siku zote ni dhaifu kwa ujumla wao na ni wepesi sana kuyumba. Angalia hata wabunge wengi walivyoyumba mwaka jana, watu hawana msimamo na rahisi sana kuwapuliza. Maamuzi hayakufanywa na Mbowe yamefanywa na kamati kuu ya CHADEMA. Mtatawaliwa na ccm kwa muda mrefu kuliko nchi nyingine yoyote Afrika, sasa ni miak 60 madarakani pengine bado 40.
 
wanakuja wakina lowasa,wakina sumaye, wanakuja kujipatia uongozi kirahisi yaani, alafu wakiona vipi wanajiondokea zao, hapo nani hana akiri?
 
unafikiri chama cha mbowe kikipata nafasi kitakubari kutoka madarakani? tena mbowe anaonyesha dalili za u dictator mapema!
 
unafikiri chama cha mbowe kikipata nafasi kitakubari kutoka madarakani? tena mbowe anaonyesha dalili za u dictator mapema!
Maamuzi ya kamati kuu ya CDM sio ya mwenyekiti muwe mnatumia akili zenu au ndivyo mlivyotumwa na ccm?
 
sipo hapa kushindana muandiko nipo hapa kuwasilisha maana, ni kama vile tusivyo ongea kiswahili fasaha, wewe mwenyewe masikini tuu, unapiga mikelele hapa!
muandiko

😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…