Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

Km hujui soka ukar pemben ww hv unajua Guadiola alimkataa ronaldhino alipopdwa barca na ktk miaka ile wengi waliamin tonaldhino ndio alikuwa bora lkn Guadiola alimkataa

Hv unajua bila Guadiola Messi asingekuwa staa yy ndie aliesema namtaka messi avae namba 10

Twende uwanjan sasa Guadiola ndio muasisi wa soka la TIKI TAKA possession na pass za hapa na pale kukaba kwa ushirikiano na kufunga magoli yenye akili
Messi ni staa kabla Ya pep, Ronaldo anachukua Baloon D or 2007/08 Messi anashika nafasi ya Pili, Pep Alikuwa Bado Hajakuja Barcelona.

2006/07 Kaka anachukua Baloon D or, Messi na Ronaldo wanakamilisha top 3, pep hayupo Barcelona.
 
Guradiola ni kocha wa kawaida. Sasa hivi anahitaji wachezaji 5 kwaajili ya msimu ujao. Huyu kocha kwa ile timu aliyonayo bado anaona anahitaji watu 5?
Kama ni mfatiliaji wa soka utagundua msimu huu,

Aguero ambaye ni striker anayetegemewa pale city amekuwa na majeraha sana na umri umemtupa mkono (32yrs) akisema anahitaji long term replacement utashangaa?

David Silva ambaye alikuwa regular player kwa misimu kumi mfululizo na amecheza mechi 400+ ameondoka, akisema anahitaji wa kuziba pengo utashangaa?

Vicent Kompany aliondoka na John Stones amekuwa na majeraha muda mwingi na pia Otamendi hayuko consistent akisema anahitaji central defender utashangaa?

Fernandinho ana 35yrs akisema anahitaji mbadala wake utashangaa?
 
Naona mmehoji kuhusu Tiki taka kwa mshangao kama vile ni kitu kigeni.

Ni kweli Guardiola anatumia mfumo wa tiki taka kufundisha, yaani mpira wenye pasi nyingi fupi fupi na na kukaba kwa pressing ili kumiliki mpira wakati mwingi wa game.

Muasisi wa tiki taka football ni Barca legend Johan Cruyff ambaye aliifundisha Barca miaka ya mwishoni mwa 80 hadi 1996 kama sikosei.

Mfumo huo ulirithiwa na Luis van Gaal na baadaye Frank Rijkaard, kabla ya Guardiola ambaye naye aliendelea kuutumia na kuumodify hadi leo hii anaendelea nao.
Tusifanyane hatujui kusoma.

Mtu kasema Guardiola ni muasisi wa tiki taka. Huu ufafanuzi unaokuja hapa sioni kama una matter
 
Wewe kwa ulichoandika juu ya uasisi wa tiki taka wa Guardiola hata sioni kama natakiwa kuongea na wewe kuhusu mpira
 
Tusifanyane hatujui kusoma.

Mtu kasema Guardiola ni muasisi wa tiki taka. Huu ufafanuzi unaokuja hapa sioni kama una matter
Kwenye post yangu nimeonesha pia kuwa muasisi sio Guardiola bali ni Johan Cruyff, utaona nimekuquote wewe na mtu mwingine ambaye anaonesha kushangaa issue ya tiki taka. Watu wengi huelewa tiki taka ni ile acrobatic (kupiga mpira kwa kubinuka) ndio maana nikaeleza hivyo pia.
 
Hahaha kwahiyo ukajua na sisi tulioshangaa tumejua ni hiyo move? Haya sasa umejua kua tumeelewa ni mfumo wa kucheza na tunajua muasisi siyo huyo. Una mpango wa kuendelea kutudanganya?

Football came a long way, tiki taka ni zao la total football. Huu mfumo ulichezwa sana na uholanzi, ambayo Cruyf aliichezea. Alipokua kocha Barcelona akaingiza hiyo mentality mpaka ikazaa tiki taka.

Wewe bila noma ukasema muasisi ni Pep. Tumeshangaa umekuja kuelezea kua eti sisi tunajua tiki taka ni acrobatic move.

Mkuu hebu pumzika kwanza.
 
Ah wewe gspain umequote kufafanua ila aliyetoa maelezo kwamba Guardiola ni muasisi wa tiki taka ni renamaizo

Boko ni pale uliponiquote ili kuzidi kunifafanulia kwa kudhani sielewi tiki taka ni nini.

Najua juu ya mifumo ya mpira. Kwahiyo siyo kwamba nilihisi ni acrobatic move.

Kama hivyo mimi na wewe naona tunashare same view unless useme yule bwana yupo sahihi
 
Mkuu au una tatizo la compehension? Nimekuuliza unaweza kunionesha ni wapi kwenye post yangu nimesema Guardiola kaasisi tiki taka? Nakudanganya kwenye nini unaweza kuonesha?

Soma hapo chini kwa msaada zaidi.
Screenshot_20200820-110004.jpeg
 
Ah wewe gspain umequote kufafanua ila aliyetoa maelezo kwamba Guardiola ni muasisi wa tiki taka ni renamaizo

Boko ni pale uliponiquote ili kuzidi kunifafanulia kwa kudhani sielewi tiki taka ni nini.

Najua juu ya mifumo ya mpira. Kwahiyo siyo kwamba nilihisi ni acrobatic move.

Kama hivyo mimi na wewe naona tunashare same view unless useme yule bwana yupo sahihi
Ok sawa mkuu nimekupata, sorry kwa hiyo next post niliipost kabla ya kuisoma hii kuwa tumeresolve.
 
Naona mmehoji kuhusu Tiki taka kwa mshangao kama vile ni kitu kigeni.

Ni kweli Guardiola anatumia mfumo wa tiki taka kufundisha, yaani mpira wenye pasi nyingi fupi fupi na na kukaba kwa pressing ili kumiliki mpira wakati mwingi wa game.

Muasisi wa tiki taka football ni Barca legend Johan Cruyff ambaye aliifundisha Barca miaka ya mwishoni mwa 80 hadi 1996 kama sikosei.

Mfumo huo ulirithiwa na Luis van Gaal na baadaye Frank Rijkaard, kabla ya Guardiola ambaye naye aliendelea kuutumia na kuumodify hadi leo hii anaendelea nao.
Tunajua kwamba muasisi wa tiki taka ni Johan Cruyff
Tunachoshangaa jamaa kusema kwamba muasisi ni Pep
HATUPENDI UONGO KWENYE SOKA
 
Yap ni vizuri kujiridhisha kabla ya kutoa comment, humu tunajifunza, tunakumbushana na pia tunaburudika.

Ni vizuri kama ulivyo shauri kuweka credible info ili kulinda credibility ya Jf pia.
 
Ukiamua kutaja makocha 5 bora kwa sasa, utawataja kina nani?

Naamini hili swali wengi watakao weka list Pep lazima atakuwemo.

Swala ni unamweka namba ngapi?
Hata Mimi Nakubali Pep ni top Coach ila huwa Napinga sio Legendary/Goat kama watu wengine wanavyotaka kutuaminisha.

Kwa miaka kadhaa hii kujibu swali lako hawa wananijia Akilini.
-Zidane
-Tuchel
-Conte
-Klopp
-Simeone
-Pep etc

Top 5 yangu Pep pengine yupo, Ila Top 3 Ni Klopp, Conte na Zidane kwa Muono Wangu.
 
Back
Top Bottom