Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
[emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]Wa kawaida sana tu kama anabisha mleteni Gwambina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji16][emoji3][emoji16][emoji16]Wa kawaida sana tu kama anabisha mleteni Gwambina.
Amecheza Mechi 9 chini ya LVG kuanzia mwishoni mwa 2002 mpaka may 2003 ambapo LVG aliondoka Barca.Acha uzushi mkuu, huyo Iniesta alicheza mechi ngapi chini Van gaal?
Amecheza Mechi 9 chini ya LVG kuanzia mwishoni mwa 2002 mpaka may 2003 ambapo LVG aliondoka Barca.
Na wewe Nani huku Tanzania Kupinga Contribution ya LVG kwenye Career ya Iniesta wakati maneno yake mwenyewe Iniesta anasema Kocha muhimu zaidi kwake Ni LVG?
INiesta kafundishwa na Pep, Rijkard, Tito, Enrique, del Bosque etc ila wote hao hajawaona kwake LVG ndio mtu muhimu zaidi.
Andres Iniesta names former Man United boss as his most important manager
wewe una chuki binafsi zako na LVG, iniesta mwenyewe kusema LVG kama kocha muhimu zaidi kwenye maisha yake mjadala ulitakiwa ufungwe hapa hapa si mimi wala wewe tunaeweza kuongea maneno yakawa na credibility kuliko kinywa cha mhusika.sasa mechi hizo 9 zimemsaidia nini? achene ku overreact mambo mengine, kufanya kama huyo Van Gal ndie aliemfundisha mpira Iniesta.
wewe una chuki binafsi zako na LVG, iniesta mwenyewe kusema LVG kama kocha muhimu zaidi kwenye maisha yake mjadala ulitakiwa ufungwe hapa hapa si mimi wala wewe tunaeweza kuongea maneno yakawa na credibility kuliko kinywa cha mhusika.
tuje kuhusu kucheza mechi 9, msimu huu Greenwood kaanza mechi 12 tu za ligi, ikitokea OLE kafukuzwa man Utd wakaja makocha kibao baadae, je tutakuwa tunam overate mchango wa Ole kwenye career ya greenwood?
Iniesta amezaliwa 1984, wakati LVG anampa debut 2002 inamaana ni miaka 18 hapo, mtoto wa miaka 18 kucheza mechi 9 tena ndani ya nusu msimu ni jambo kubwa sana kwake.
Starter kuanzia lini? Na angekuwa starter angeanza mechi 12 kati ya 38?Iniesta hakua stater wala key player kwenye timu ya LVG huwezi fananisha kesi ya Greenood ambae ni starter
Starter kuanzia lini? Na angekuwa starter angeanza mechi 12 kati ya 38?
Hivi unaelewa maana ya debut na key player? Kwamba kocha hawezi kuibua kipaji mpaka kiwe key player?
Na kwanini mpaka leo hakuna Tena vipaji La masia tofauti na Vya LVG?
Km hujui soka ukar pemben ww hv unajua Guadiola alimkataa ronaldhino alipopdwa barca na ktk miaka ile wengi waliamin tonaldhino ndio alikuwa bora lkn Guadiola alimkataa
Hv unajua bila Guadiola Messi asingekuwa staa yy ndie aliesema namtaka messi avae namba 10
Twende uwanjan sasa Guadiola ndio muasisi wa soka la TIKI TAKA possession na pass za hapa na pale kukaba kwa ushirikiano na kufunga magoli yenye akili
Yeye ndio Alie i reconstruct kwa hizi modern Times, akagombana na Bodi vijana wasiuzwe, akawapa Nafasi hao watoto mpaka leo glory hunter kama nyie mukiona wachezaji wazuri mnakosa adabu na kukejeli walipotoka.mkuu mbona unaropokwa kwani LVG ndie aliyekua kocha wa La masia?
Yeye ndio Alie i reconstruct kwa hizi modern Times, akagombana na Bodi vijana wasiuzwe, akawapa Nafasi hao watoto mpaka leo glory hunter kama nyie mukiona wachezaji wazuri mnakosa adabu na kukejeli walipotoka.
Toka Lvg aondoke Barca hakujatokea kipaji chochote cha kutisha tofauti na wakati wake. Kama nadanganya kitaje.
Na Alivyoondoka akaenda bayern Zama zikahamia kule akatoa vipaji vyengine vya Kina Alaba, muller, Badsturber etc
Hata Man U bila support ya Bodi pia kuna wachezaji kadhaa anaweza kupewa Credit.
Mbaguzi akwendree
Yes. Kaka angu Yaya Tourealikubagua?
hivi mkuu wewe na Iniesta nani anamjua iniesta zaidi? yaani maneno yake mwenyewe iniesta kayatamka si mara moja wala mara mbili interview kibao anasema kocha muhimu kwake ni LVG, then wewe huku Tanzania umbishie, who are you? Aibu naona mimi kuendelea kujadili hili.Punguza mihemko mkuu.
Ni kweli Muller na Badstuber yeye ndie aliyewapa nafasi japokua Muller alishakua tayari yupo fisrt team hata kabla ya ujio wake ila hakua akipata nafasi ya kucheza, lakini Alaba alianza kupata nafasi buyern kipindi cha Heynces wakati wa utawala wa Van Gal alikua akila mikopo tu.
Na kuhusu Barca bado nataka unitajie hizo tallent alizoziibua naoa umemganda Iniesta tu amabaye hata mechi 10 hazikufika alizocheza chini yake Van Gal.
Cesc Fabregas na Arteta waliuzwa kipindi hicho Van Gal akiwepo ambacho unadai kuwa alizuia talent zisiuzwe. Hoja yako ni ya kizushi, Iniesta alikua ni Best player ndnai ya La masia na tayari alishatarajiwa makubwa na ndio Barca kama team kiujumla walikua na matumaini nae na sio Van Gal tu kama unavyojaribu kutuaminisha.
Yes. Kaka angu Yaya Toure
Fuatilia habari. Mbona zipo tu. Kwa mdomo wake mpaka Toure Yaya alishaongea yeye mwenyewe?!!!mbona mwenyewe hajawahi sema kuwa amebagulia kwa sababu ya rangi?
Fuatilia habari. Mbona zipo tu. Kwa mdomo wake mpaka Toure Yaya alishaongea yeye mwenyewe?!!!
Sio huyo tu. Kambagua mpaka Eto'o.
Huyo ana alergy na many black players