Kama pep ndo muasisi he Johan cruyf nae vipi? Unamjua kwanza?
John Cruyf ni muasisi wa Total Football pale Barca na sio tik tak.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama pep ndo muasisi he Johan cruyf nae vipi? Unamjua kwanza?
Ushahidi uko wapi ?Louis van G? 😂😂😂
hivi hifahamu kama jamaa ni mmoja wa failure caches pale Barca?
Hii mbuzi ya wapi ? Cruyf alichanganya total football ya waholanzi wenzake.na mavitu mengine ndo akapata tik tak.John Cruyf ni muasisi wa Total Football pale Barca na sio tik tak.
Hii mbuzi ya wapi ? Cruyf alichanganya total football ya waholanzi wenzake.na mavitu mengine ndo akapata tik tak.
Hahhhhh
Washakuja huko juuu hawana hoja wanapang'ang'a tuuhwatakuja hapa wafuasi wa andunje na zao porojo kukupinga mkuu
Hujui kitu kubali uambiwe usije chekwa bro hahahahHivi uliwahi kuitazama Barca ya Cruyf? au unaropokwa tu
Barcelona tik tak imechezwa na Pep, kabla ya hapo walikua wakicheza total football.
Hahahaha dah naona tunalumbana tu we mjamaa. Huchoki halafu. Ngoja nikifokee kwa kidhungu....the bottom line is Pep ni racist. Hao wazungu aliokosana nao kina Ibra ni bitter relationship tu ya mtu na mtu.Vipi kuhusu Zlatan? pia ni mweusi?
Mzee wa GEGEN pressingOf course huwa namuheshimu sana Klopp kwa hilo, tangu akiwa Dortmund amekuwa na best balance between money and technical issues, na hapo ndipo nadhani anaonesha 'uspecial' wake.
Nilitamani sana Arsenal tumpate kipindi kaondoka Dortmund, angetufaa sana kwa bajeti zetu za kuunga unga, they call him 'The German tactician'.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Yes. Kaka angu Yaya Toure
Kwakuwa nimeacha kushabikia soka kama zamani, nitakuwa sina kumbukumbu sahihi.Km hujui soka ukar pemben ww hv unajua Guadiola alimkataa ronaldhino alipopdwa barca na ktk miaka ile wengi waliamin tonaldhino ndio alikuwa bora lkn Guadiola alimkataa
Hv unajua bila Guadiola Messi asingekuwa staa yy ndie aliesema namtaka messi avae namba 10
Twende uwanjan sasa Guadiola ndio muasisi wa soka la TIKI TAKA possession na pass za hapa na pale kukaba kwa ushirikiano na kufunga magoli yenye akili
Hatari kabisa huyu mtu.Mzee wa GEGEN pressing
Hahahaha dah naona tunalumbana tu we mjamaa. Huchoki halafu. Ngoja nikifokee kwa kidhungu....the bottom line is Pep ni racist. Hao wazungu aliokosana nao kina Ibra ni bitter relationship tu ya mtu na mtu.
Yeye muache aendelee kula mafanikio yake na ubaguzi wake na mimi naendelea kula mafanikio yangu kwa kiwango changu lkn maana hawezi akawa sawa na mimi. Kuna niliyompita na kuna aliyonipita pia.wewe endelea kuumia nae, mwenzio anaendelea kula mafanikio na utajiri wake. Roho za kiafrika ni mbaya sana
Analysis yako imeangalia sana upande unaotaka wewe iende.Sababu zangu kwa Conte.
1. Kuirudisha Juventus Top
Utakumbuka Juve kushushwa Daraja, waliporudi haikuwa Timu ile tuliyoizoea,
Mwaka 2009/10 Juve Alikuwa nafasi ya 7, mwaka 2010/11 pia Juve Akaendelea kuwa nafasi ya 7, kwa miaka zaidi ya mitano Inter na Ac milan wanatawala soka La italia, Conte akapewa Timu 2011, Yeye ndio akawatoa huko na kuwapa Ubingwa mfululizo mpaka anaondoka, hivyo kuitoa Timu nafasi Ya 7 na kuipa Ubingwa Mfululizo ni Achievement ambayo Pep hana.
2. Kuprove Nje ya Italia.
Alikuja Epl pia akawapa Ubingwa Chelsea, Huku akitumia wingbacks wake average kama Moses. Akaweka na Record ya Unbeaten kwa hichi kipindi.
3. Kuwashake Juve tena
Amerudi Tena Inter Milan, Tokea utawala Wa Juve uanze Inter anamiss top 4 mara nyingi sana, ila ndani ya Msimu mmoja amepunguza gap la point na mabingwa kuwa 1 tu, pia yupo fainali Europa.
Ukitoa Mafanikio ya ubingwa Conte pia Anabadili Average players kuwa wazuri, mfano ni Victor moses, Ashley young, Sanchez etc. Leo hii Ungeambiwa Young aliekuwa Kajichokea Man Utd watu wanamuona babu tayari anaweza kuwa top player usingeamini.
Ukimuangalia Pep ana mafanikio ila Anashindwa kufikia Malengo ya Vilabu anavyokwenda. Mfano Man City Pelegrini tayari Alikuwa na Nusu ya Uefa na Ubingwa wa Ligi, Pep akaletwa kuendeleza Alipoishia Mwenzake, Mpaka Leo pep hajatoboa Robo fainali Uefa Misimu minne, Same kwa Bayern Alipewa Timu ni Bingwa wa Uefa na Ligi na pia Alishindwa japo alikuwa na Kikosi bora.
Yeye muache aendelee kula mafanikio yake na ubaguzi wake na mimi naendelea kula mafanikio yangu kwa kiwango changu lkn maana hawezi akawa sawa na mimi. Kuna niliyompita na kuna aliyonipita pia.
Sema tu nikukumbushe kitu kimoja huenda hukijui. Kila mtu ni mbaguzi bwashee kwa kiwango chake. Tunamsema yeye kwa kua ni maarufu. Hivyo anatakiwa a behave kidogo especially mbele za watu.
Mimi na declare interest ni mbaguz kweli kweli lkn huwezi jua kwa kweli.
Nilichagua kushabikia Arsenal mpk leo sababu ilikua na wachezaji wengi weusi kipindi napata fahamu za mpira.
Napenda sana kuangalia channels za michezo kuanzia mpira, ngumi, UFC, tennis nk nk. Ila nikikuta anapigana mtu mweusi, nakua more interested nakaa hadi mwisho namshangilia mweusi. Wakiwa ngozi nyeupe tupu naweza nisipende sanaaa ila ntachagua tu wakumshangilia ili niwe na interest ya kukaa mpk mwisho.
Kila mtu ni mbaguzi shekhe awe wa kabila, rangi mpk mali. Maana wengine watu wenye mali wenzake ndio anawependa ila wa hali ya chini hata kuwapa mkono wa salamu wanaona kinyaa.
Sasa na conclude, huyo mbaguzi Pep yeye ni nani asiwe mbaguzi. Mbona unamtetea sana kwamba si mbaguz wakati waliosema wenyewe km yeye ni mbaguz wapo kabisa.