Nilikuwa sahihi kwa huyu kocha uchwara Pep Guardiola

Ninacho hua siwezi kubishana na mtu asie na hoja ...
Dalili moja wapo ya MTU asie na hoja ni kashfa matusi na keheri am done arguing with you.
Hoja yako wewe ipi? Guardiola kocha uchwara? Guardiola kocha wa kawaida sana? Haya, taja makocha kumi bora duniani ambao unahisi wanamzidi kocha uchwara Guardiola uwezo!
 
1.clopp
2.zizu
3.aceloti
4.Mourinhol.
5.Tuchel
6.Nuno
7.Enrique
8.simeone
9.Erik ten Hag
10.Gian Piero gasperini
.....
.
.
.
.
.
.
.
.
.
290.mkwasa
291.pep guadiola
 
Waweke 10 best coach in the world tuwaone. You Frank Rijkaard ndio msingi wa timu Guadiola. But you ll never see him mentioned
 

Labda Klopp yuko juu zaidi.
 

Waweza kuwa sahihi au uko karibu tumpe msimu huu tena.

Mkuu, mpira ni mbinu au "tactics" , ufanisi au "Perfomance" na mpango wa namna ya kucheza au game plan.

Pep mara nyingi hubadilisha timu pale inapopambana na timu ambazo anaziona si tishio sana.

Mara zote Guadiola hupanga mtindo wa 4-3-3 lakini dhidi ya Lyon akapangua na kupanga timu icheze mtindo wa 3-1-4-2 yaani akawa na mabeki watatu Laporte, Garcia na Fernandinho nyuma ya Rodri na Gundogan katikati, halafu De Bruyne na Cancelo pembeni, Walker beki wa ziada wa pembeni kulia na mbele akawa na Sterling na Jesus.

Dakika 25 za kwanza De Bruyne akicheza upande wa kulia, hakufurukuta hata kidogo na hakupiga hata shuti moja maana Lyon walijua kuwa kwa mtindo walokuja nao City, wao wangembana De Bruyne.

Rodri na Gundogan ni viungo ambao hupenda kusimama katikati bila kujishughulisha sana kwenda nyuma na mbele.

Lyon wakiwatumia Mephis Depay na Karl Toko Ekambi wakawa wanawavuka kirahisi
pale kati Rodi na Gundogan na Lyon wakapata goli mbili za kwanza.

Baadae ikabidi De Bruyne aende upande wa kushoto ndipo Sterling alipopata nafasi zaidi lakini ni mpaka alipoingia Mahrez dakika ya 55 ndipo Man City wakabadili mtindo na kuanza kucheza 4-3-3.

Hapa ndipo De Bruyne alipoweza kupata mwanya wa kufunga goli alolifunga.

Guadiola akachelewa tena kufanya mabadiliko hadi alipoamua kumwingiza kiungo mzoefu David Silva badala ya Rodri lakini walikuwa wamechelewa, kwani Lyon walipomwingiza Dembele yeye akiwa na kasi akaja kuwamaliza na mwisho Man City wakafungwa 3-1.

Hivyo Guadiola na Man City walifungwa na Lyon kwasababu tatu, mbinu mbovu na upangaji mbovu na ufanisi mbovu.

Ukiangalia mechi na Real Madrid Guadiola alichezesha timu yake ya kawaida ya mtindo wa 4-3-3 na wachezaji Bernardo Silva, David Silva, Mahrez na Phil Foden ni wachezaji wabunifu uwanjani ila aliwaacha bench.

Ntakuunga mkono zaidi msimu ujao ambapo Man City huenda ikabadilika na kushuka nafasi kwenye ligi kuu.

Hapo ndipo tutakapohitimisha mtazamo wako juu ya huyu Mtalaam Guadiola.

Mpaka sasa Guadiola ameshindwa kumpata beki mshahara wa aina ya Vincent Kompany na pia atashindwa kuwapata wachezaji wengine wa viungo wa aina ya David Silva na Fernandinho.
 
Watu Walio Wengi Wameweka Matarajio Makubwa sana Kwake..!Hivyo Kuvunjika Moyo tarajia.


Pep bado ni miongoni Mwa Makocha bora Wa kizazi hiki.


Q) Pep is snippless Coward...!
Who said so..?
a)Ibrahimovic
b) Yaya Toure
C) Etoo

Q)Pep is overrated Coach..
Who said So..?
a)Dimitriv Suke.
b)Yaya Toure.
C) Sir Alex.

Q) Pep Is genius Coach.
Who said so
a)BBC SPORTS PunditS
b) Skyspory PunditS & Cbc Sport & Canal Sport.
C) Pep Fan's & Supporters & Football Fan's.


(FraudIOLA/GENIUS/CONMAN/COPYPASTE....?? )


Maoni yangu ambayo yatasukumwa pia na Hisia zangu ,sijaweka hisia pembeni..

Mpira kwangu Jambo la kwanza ni burudani,Nipate kufurahi hivyo napenda soka safi lenye kuvutia.

Kocha bora 5 kwa kizazi hiki kwa Mtazamo wangu &Hisia zangu za kupenda soka la kuburudisha, kwa kizazi hiki.

1.Klopp
2.PEp.
3.Pochetino.
4.Zidane.
5.Flick (Huyu bado nampa muda).
 
Pep ni kocha mzuri kwa timu yenye bajet kubwa kama City ,PSG, Bayern ,madrid nk ila timu kama Atletico, Dortmund, Arsenal, Liverpool, ukimpa Pep hawezi beba hata kikombe cha uji
Hii hoja aliitumia Pia Wakala wa Yaya toure Dimitriv Suke..(Akitolea Mfano Wa Sunderland & Stoke Akadhihilishe ubora wake huko..)

Kisha akaenda Mbali Kwa kusema Pep Hawapendi Wachezaji wa kiafrica,Hafai Kuitwa Umbwa kwa sababu Umbwa ni rafiki wa zuri wa Binadamu.

Hivyo Pep ni adui wa Maendeleo ya Mtu/Mwanadamu..Ni Fala tu.


Hii ilikuwa katika vita ya Wakala Wa Yaya Toure na Pep Ndani ya Man city..!
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mimi Kama mshabiki wa Man U , kocha bora ni klopp, Mana hii Liverpool ilikuwa ni takataka lakini kaijenga vizuri sana na bila kutumia gharama kubwa za kusajili . Kipindi anaondoka BVB, nilitamani sana aje kuwa kocha wa Man U.
 
Ungesema Josee Mourinho
 
Cruyf ni mwanzilish lkn tik taka yke haikunoga km ya pep ktk kikosi bora cha mda wote barcelona wachezaji weng ni aliowafundisha pep xavi. Iniesta.messi.bosquest .dani alves.pique.eto wote hawa ni mazao ya pep ebu nitajie wachezaji wa uyo cjui cruff
Wewe unamahaba na pep, Hauko kuelimika kimpira Nadhani imeanza kuishabikia Man City juzi juzi tu.
 
Hapa alienda kuiharibu Buyern
 
Mi naona hii Bayern inayoteleza ni sababu za Pep..... I stand to be corrected
Hii Buyern inateleza, si kwa sababu ya pep , Tokea Pep aondoke umeona Buyern imebadili makocha Mara ngapi. Na imemrudisha Yule Babu Mara ngapi. Acha mapenzi kwa Pep. Be fair utajua Mpira.
Buyern inachukua Uefa 2013 ilikuwa ni yamoto, lakini Pep aliipoza na kuiharibu kabisa mpaka anaondoka timu ikakosa mwelekeo kabisa.
Buyern inaperform sasa kwa sababu kocha wa sasa ni miongoni mwa makocha bora.
 
Sasa Tuchel na Conte wamemzidi nini Unai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…