Nilikuwa siamini, sasa nimekubali "BIKIRI ZIPO"

hakuna zawadi ambayo mkeo anayoweza kukupa zaidi ya ukimkuta bikra ina heshima sana ktk ndoa.imagine hujaikuta hujui kina nani walipita na yule wa kwanza kuitoa siku yoyote akimtokea wife anampa huwa hawamsahau
 
Sasa lakini mpwa, mbona kama vile kichwa cha habari kinakushtaki? umesema unaamini kuwa bikra zimo at the same content inaonyesha kua kama ni kweli lakini, hujawahi kugusa longtime, sasa mpwa, umejuaje kama hizo mali ni original? watakuua mpwa, achana nazo mpwa, urudi salam huku si wapo tu? haya bana ntamuonyesha shemejio naye atakutumia comment zake na nilikua naongea na babaako ambae na ni ndg yangu, amesikitika sana kuona kua umeanza kamchezo tofauti na agenda iliyokupeleka!!! asante
 

Mkuu, JF hakuna sera ya kuficha ficha. Ni uwazi na ukweli tu. Ni Nchi gani hiyo ambayo huwezi kuitaja jina?
 

word!
 
Kwajinsi hawa jamaa wanavyosimamia suala la kujamiiyani si-rahisi kufanya ushoga au usagaji, kwani ukipatikani wanakuuwa.
kweli kwa nchi nyingi za kiarabu kuchakachua ni ndoto ya mwaka
 
Hapo kwenye tigo hakika wanamkosea Mungu kwani hata ng'ombe tu ambaye hana akili huwa akosei!
 
Mh! Kaka huko bila shaka ngöno za jinsia moja zimeshamili au siyo?
 

umepotea ulipokwenda muombe MUNGU sana akung'atue ulipo utachinjwa buree
 
Nahisi kuna watu toka paradiso huku...usirudi bora ubaki huko!
 


duuuhhh hii sijawahi sikia kabisa..............
na ukitaka kuoa unatakiwa ufanyeje?????
au wao hawazaliani???
 
Mkuu, JF hakuna sera ya kuficha ficha. Ni uwazi na ukweli tu. Ni Nchi gani hiyo ambayo huwezi kuitaja jina?

mwombe aku PM.....
kwani si lazima mtu afumue kila kitu hapa..
kuku ni wengi hataki kumwaga mchele....
 
hakuna zawadi ambayo mkeo anayoweza kukupa zaidi ya ukimkuta bikra ina heshima sana ktk ndoa.imagine hujaikuta hujui kina nani walipita na yule wa kwanza kuitoa siku yoyote akimtokea wife anampa huwa hawamsahau

ulicho ongea hapo juu ni safi sana...
lakini kwa dunia hii ya 21 century sijui utamwamini nani..
kwani mwanamke anaweza rudishi ubikira kwa njia ya surgery .....
sabab ni hiyo hiyo ukimwoa umkute bikira......
Dunia imesha geuka huwezi amini kila kitu macho yanacho kiona....
 
halafu hajafafanua bikira ipi maana watu si hizi wanachakachua mpaka za masikioni wanaitwa ZANTEL wenyewe
 

duh!
 
Na ndio maana kwenye nchi kama hizo tatizo la ukimwi wanalisikia kwenye bomba huku kwetu hata ukitaka mke wa mtu unagonga acha hao wasichana ambao hawajaolewa na hawana mwenyewe............
Ngoma ippo kwa sana tu... ulevi upo kwa sana tu.. uzinzi ndo usisema...!! sema wanawake wanakandamizwa... hivo maovu yote wafanyiwayo hayaonekani mbele ya jumuia za nje....!!! UNAFIKI MTUPU!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…