Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipo nchi ya ndugu zangu kwa kipindi kinachokaribia miaka miwili, sijawahi kuchakachua hata siku moja kutokana na sheria zilivyokali. Kwenye basi huwezi kukaa na mtu wa jinsia tofauti, hosipitali huduma inatolewa kwa kufuata jinsia, shule mapaka vyuo vikuu vya serika hakuna mchanganyiko, huwezi kuwasiliana na msichana kwa njia ya simu au E-maili ukipatika mauti ni yako, huwezi kusimama au kusalimina na msichana. kila raia analinda wasichana, ukionekana unongea na msichana raia wanakukwida na ikifahamika ulikuwa unatongoza basi kifo chako.Marafiki zangu wamenieleza kila msichana unayemuona katika huu mji ni bikira. Kweli tembea uone. Tz nilikuwa nachakachua bila bughudha yoyote na sijawahi kukutana ta BIKIRA japo nimechakachua kwa kipindi cha zaidia ya miaka 10, nikitoka huku hii nchi sirudi ngo!!!!!
siku zote huwa sielewi kwa nini watu wanashikia bango sana haya mabikra.hebu tujiulize tu bikra imechangia au inachangia nini katika mahusiano,hata ukiikuta ni just one act and everything is over forever.mimi ninaangalia zaidi personality yangu na utu wa yule ninayetaka kuwa naye maana kama hivyo havipo naweza kuikuta hiyo kitu na baada ya miezi miwili tu naletewa std ndani.
kweli kwa nchi nyingi za kiarabu kuchakachua ni ndoto ya mwakaKwajinsi hawa jamaa wanavyosimamia suala la kujamiiyani si-rahisi kufanya ushoga au usagaji, kwani ukipatikani wanakuuwa.
Nipo nchi ya ndugu zangu kwa kipindi kinachokaribia miaka miwili, sijawahi kuchakachua hata siku moja kutokana na sheria zilivyokali. Kwenye basi huwezi kukaa na mtu wa jinsia tofauti, hosipitali huduma inatolewa kwa kufuata jinsia, shule mapaka vyuo vikuu vya serika hakuna mchanganyiko, huwezi kuwasiliana na msichana kwa njia ya simu au E-maili ukipatika mauti ni yako, huwezi kusimama au kusalimina na msichana. kila raia analinda wasichana, ukionekana unongea na msichana raia wanakukwida na ikifahamika ulikuwa unatongoza basi kifo chako.Marafiki zangu wamenieleza kila msichana unayemuona katika huu mji ni bikira. Kweli tembea uone. Tz nilikuwa nachakachua bila bughudha yoyote na sijawahi kukutana ta BIKIRA japo nimechakachua kwa kipindi cha zaidia ya miaka 10, nikitoka huku hii nchi sirudi ngo!!!!!
Nipo nchi ya ndugu zangu kwa kipindi kinachokaribia miaka miwili, sijawahi kuchakachua hata siku moja kutokana na sheria zilivyokali. Kwenye basi huwezi kukaa na mtu wa jinsia tofauti, hosipitali huduma inatolewa kwa kufuata jinsia, shule mapaka vyuo vikuu vya serika hakuna mchanganyiko, huwezi kuwasiliana na msichana kwa njia ya simu au E-maili ukipatika mauti ni yako, huwezi kusimama au kusalimina na msichana. kila raia analinda wasichana, ukionekana unongea na msichana raia wanakukwida na ikifahamika ulikuwa unatongoza basi kifo chako.Marafiki zangu wamenieleza kila msichana unayemuona katika huu mji ni bikira. Kweli tembea uone. Tz nilikuwa nachakachua bila bughudha yoyote na sijawahi kukutana ta BIKIRA japo nimechakachua kwa kipindi cha zaidia ya miaka 10, nikitoka huku hii nchi sirudi ngo!!!!!
Mkuu, JF hakuna sera ya kuficha ficha. Ni uwazi na ukweli tu. Ni Nchi gani hiyo ambayo huwezi kuitaja jina?
hakuna zawadi ambayo mkeo anayoweza kukupa zaidi ya ukimkuta bikra ina heshima sana ktk ndoa.imagine hujaikuta hujui kina nani walipita na yule wa kwanza kuitoa siku yoyote akimtokea wife anampa huwa hawamsahau
kweli kwa nchi nyingi za kiarabu kuchakachua ni ndoto ya mwaka
ulicho ongea hapo juu ni safi sana...
lakini kwa dunia hii ya 21 century sijui utamwamini nani..
kwani mwanamke anaweza rudishi ubikira kwa njia ya surgery .....
sabab ni hiyo hiyo ukimwoa umkute bikira......
Dunia imesha geuka huwezi amini kila kitu macho yanacho kiona....
duh!
mmmhhh HashC usiniambie hujawahi sikia hilo...
au unashangaa tu??
ndo kwanza wanijuza!
Ngoma ippo kwa sana tu... ulevi upo kwa sana tu.. uzinzi ndo usisema...!! sema wanawake wanakandamizwa... hivo maovu yote wafanyiwayo hayaonekani mbele ya jumuia za nje....!!! UNAFIKI MTUPU!!Na ndio maana kwenye nchi kama hizo tatizo la ukimwi wanalisikia kwenye bomba huku kwetu hata ukitaka mke wa mtu unagonga acha hao wasichana ambao hawajaolewa na hawana mwenyewe............
iPO JUU KAMA NCHI ZINGINE... NI KWAMBA HAWARUHUSU TU DATA ZIONEKANE...!!Je vipi rate ya maambukizi ya UKIMWI ikoje ?