Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

No hii issue haziwezi kuwa kweli, hivyo nilikuwa namwambia jamaa asiamini kila anacho ambiwa, vingine ni matango pori kama hili.
P
Ok bro,

Binafsi siiamini pia na simpingi.Guam kuna mambo yameshafanyika kiasi kwamba habari kama hii ikiwa ya kweli hata sitashangaa tena.
 
Mjusi aakibanwa kwenye mmlango na macho kkumtoka kkodo anaweza kuongea chochote ili umtoe kwenye kibano chs mlango.
Vivyo hivyo kwa mafisadi waliokula nchi hii na waliokuwa wanatarajia kufanya huo ufisadi.
Ukija kwenye hadithi kuu ya walinzi wa guam nk , lazima wakumbuke kuwa wanajeshi wa Guam mbona wamezikomboa nchi zingine na kuendelea kuzilinda baada ya ukombozi nk, mfano Seychelles, ms
Taarifa zako huwa naziamini 100%,hata mimi nalijua hilo siku nyingi sana,kifupi ni kwamba hiyo nchi ya Guam ipo mikononi mwa Mr Slim, kiongozi wa jamhuri ya wamwaga damu,niliwahi kuleta Uzi hapa juu ya hatima ya nchi ya Guam mods wakaifuta,Mr slim hatimaye kafanikiwa lengo lake, hatimaye Bahima inakaribia.
Sasa utasema kuna usalama wa taifa hapo au matako ya taifa? Utaruhusuje jeshi la nchi jirani likulinde?
Ina maana hawaamini wanajeshi wake ndo maana anawadharau sana hadi kuwabebesha mazao na kuwageuza mgambo wa kulinda maduka,sijui kwanini wanamchekea mfalme juha huyo.
Kuna Nabii wa Uganda alitabiri mwisho mbaya wa mfalme wa Guam
 
Mleta mada ana yake siku hizi ana Hasira sana Na serikali na kutwa kuandika vitu vya kizushi hivi alitegemea kuwa yeye tu ndie ameteuliwa na Mungu kukaa vitengo vinono vyenye pesa Na ufisadi Na kubeba mivyeo kedekede? Kwani nyumbani kwake walinzi Na ma house boy Na house girl ni ndugu zake au ni watu wa nje ya kabila lake .mbona halindwi Na watu wa kabila lake Na ndugu zake Na mahouse boy Na House girl sio nduguze au kabila yake ?.Mihasira ya kupigwa chini sehemu za ulaji inamsumbua Na mamikopo aliyokopa sehemu Mbali mbali inaonyesha yeye Na Zitto Kabwe Na Godless Lema
 
Watu wanajaribu kuchokonoa mambo makubwa ambayo hawana uwezo wa kuyaelezea.Kuna watu hawalali kwa usalama wa Taifa letu na tutumie njia zinazostahili kama tuna mashaka na mambo haya makubwa.Njia mojawapo ni kamati ya bunge inayohusiana na mambo hayo.
Tumetetreka katika demokrasia lakini bado sisi ni stable kuliko nchi yoyote na tujikumbushe tu Marehemu Jumbe kwenda Dododma na vin'gora na kurudi bila cheo.Watu hawa wakiamua kujenga hoja hata kama ni Raisi ataondoka.
Nimekupata mkuu..ni kwel kuna mambo mengine yanaonekana tofauti sana na uhalisia .unachoonyeshwa kinaweza kikawa na tafsi tofauti sana.
Kama imefikia hatua ya wao kupenyeza watu wao kwetu then huko kwao sipati picha ni jinsi gan vijana wetu wamejaa
 
Believe that and you'll believe anything
P
Mleta mada inaonekana anaaminika na anawafuasi wa taarifa zake. Wewe ukimpinga wafuasi wake hawatakuelewa. Mi naona wewe unaonekana unapingana na imani zao kuhusu wanachokiamini tayari. Hapa hata ukileta ukweli utaonekana muongo. Nadhani unanielewa, audience yake ndiyo hii huwezi badirisha misimamo yao kuhusu hili. Nafahamu, ungependa wakuelewe na wakubaliane nawewe kwamba huu ni uongo. Lakini wameshakubaliana naye, ukweli wako hauwezi kurudisha PH ikawa neutral.
Wameshachagua upande kwenye hii litimus test. Ushauri wangu kwako, ukiona hali iko hivyo. Wewe soma na upite tu, jitihada zako na nguvu zinapotea bure. Hata mimi siamini hili japo sina hata chembe ya ukweli ninao ujua, ila nami naamini opposite na wao, sina ushahidi wa kupingana nao, kama wao wasivyo na ushahidi na hili zaidi ya hear say.

Nimewahi kuulizwa kati ya chumvi na sukari ipi tamu? Jibu langu sukari. Muulizaji akasema mbona supu tuliyokula ulisema ilikuwa tamu, kwani iliungwa sukari?! Mwisho akasema haya maneno yanaweza kukuchanganya, elewa unavyoelewa inatosha otherwise unaweza ukamaliza maisha yako unatafuta maana ipi ni sahihi.
Hivyo baki na msimamo wako, mpaka utakapopata ushahidi tofauti na ulivyokuwa unaelewa. Kuna vitu hutoelewa au kuamini otherwise mpaka uvione kaka.
 
Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?

Kisa Mny*****enge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
******amul***.
 
Pumbavuuuu kabisa!!!!hizi taarifa za kishenzi huwa mnazitolea wapi????haiwezekani na haitawezekana!!!!!vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara kufanya ulinzi kwa VIP's wote
 
Back
Top Bottom