britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
- Thread starter
- #221
HahahaHahahahahah...Pasco mzee wa falsafa na indirect puzzle, ni kweli brittanica ni muongo kweli....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaHahahahahah...Pasco mzee wa falsafa na indirect puzzle, ni kweli brittanica ni muongo kweli....
[emoji12][emoji12]Huyo ni mwanamke ni mchaga aliyezaliwa dar
Mami umeeleza mpaka nimemjua Katto.Hahahahahah...Pasco mzee wa falsafa na indirect puzzle, ni kweli brittanica ni muongo kweli....
Bila kusema ni nini kilichokuaminisha, unatulisha matango tu!Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
@Polo utanyanyuliwa elezea udhaifu wao ulipoSawa tu acha alindwe na wanajeshi wa kisiwa jirani,wale wa Guam ni dhaifu sana.
Ila mkuu embu tupe chanzo cha hii taarifa yako.
Tumieni codes acheni kuyataja hayo majinaKwani Tpdf ndio wanaomlinda rais au psu kutoka Tiss
Sasa TPDF wataumia vipi hapo mjomba
Mkuu Kiongwe, sijaweka mikono nyuma popote, ila siku hizi nimekuwa mzalendo zaidi kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa. Hili la kuhakikishiwa wilaya huku ni kama kunitukana fulani, please!.Kaka umepotea sana Mkuu kuna ubishi huku mtaani watu wanasema na wewe umehakikishiwa Wilaya ndio maana umeweka mikono nyuma
Ila nyie watu wa vibonzo mnaniacha hoi, kwahiyo Pombe analazimisha maksai wasonge mbele wakilima asijue maksai wamemgeuka mda wowote wanaweza kumdhuru.[emoji4][emoji4][emoji4] View attachment 945003
Acheni uchochezi na wivu, nchi yetu imepiga hatua sana mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu, hili ni jambo la kupigiwa mfano duniani kote. Hakuna nchi yoyote iliyoweza kuweka "vivutio vya wanajeshi" kama nchi yetu tukufu. Na hizi ni "juhudi" kubwa za raisi wetu mtukufu na sasa ni dhahiri shairi tunaenda kuishinda hii "vita ya kiuchumi".
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pumbavuuuu kabisa!!!!hizi taarifa za kishenzi huwa mnazitolea wapi????haiwezekani na haitawezekana!!!!!vyombo vyetu vya ulinzi vipo imara kufanya ulinzi kwa VIP's wote
Kama uthibitisho wenyewe wa watu wa kitengo ndio huu wa kupitia mabandiko humu jf, then, tuna wataalam wazuri na mahiri sana wa utambuzi.Hakika paschal sasa nimeshathibitisha wewe ni wa kitengo.
Nilikuwa nafatilia nyuzi zako ukajaribu kunishawishi kwa nyuzi zako lakini kwa hii inaweza kuwa imezishidishwa mno sukari na kuwa chai tamu. Its too good to be true. Rais hajiamulii masuala ya usalama wake.Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Ndiyo maana nashangaa badoNilikuwa nafatilia nyuzi ukajaribu kunishawishi kwa nyuzi zako lakini kwa hii inaweza kuwa imezishidishwa mno sukari na kuwa chai tamu. Its too good to be true. Rais hajiamulii masuala ya usalama wake.
[emoji23][emoji23][emoji23] Anawalimisha kinyumanyuma!Ila nyie watu wa vibonzo mnaniacha hoi, kwahiyo Pombe analazimisha maksai wasonge mbele wakilima asijue maksai wamemgeuka mda wowote wanaweza kumdhuru.
Kuna mambo unakufa kizungu na tai shingoni, hadi kaburini unakwenda nayo.Nchi ni kama nyumba.
Kuna kijana alikuwa anaishi na mama yake wa kambo. Kama ujuavyo samaki mkunje angali mbichi. Mama wa kambo alikuwa sheria kali akilea familia yake kwenye misingi yote ya ulokole.
Lakini wajua ujana maji ya moto. Kijana alikuwa akitaka kufanya mambo yake basi anatafuta chimbo lake na kufanya yake.
Siku ya siku anatoka kwenye mlango wa nyumba ya wenyeji anakutana na mama yake wa kambo kashikiliwa na janadume lingine ambalo sio baba yake.
Nyumba ilikuwa chungu kwa kijana kutokana na 'kufuata fomula ya kutokusema kila unachokiona' na ulokole ukakata kabisa.
Mama yule alikuwa ameshapoteza morality ya kusema chochote kwa yule kijana.
Kijana alikuwa anajiuliza maswali mengi.
Je mzee wake akiambukizwa magonjwa itakuaje??
Ustawi na usalama wa familia utaendeleaje kwenye hali ile?
Siku mama yake akiamua kufungasha virago na kwenda kwa janadume lile lingine, baba yake mzazi atabaki kwenye hali gani??
Na je hilo likitokea,hatia atakayokuwa nayo moyoni kwa kutokusema ataweza kuibeba??
Hahahaaaaa,,,,,Kama uthibitisho wenyewe wa watu wa kitengo ndio huu wa kupitia mabandiko humu jf, then, tuna wataalam wazuri na mahiri sana wa utambuzi.
Umepatia, mimi ni wa kitengo, ofisi yangu ni lile jengo meli pale St. Peters. Kule kazini, tuna majina yetu ya kazini, jina langu la kazini naitwa Chifu. Karibu sana tutembeleane, ukifika tuu getini wewe sema ni mgeni wa Chifu.
P
Umeirudia comment hii umesahau kumwambia kwamba akija kukutafa asije ijumaa maana familia imaweza kumtafta akiwa yuko mikono salama mpaka apatikane ni siku ya kazi jumatatu 😀😀😀😀Kama uthibitisho wenyewe wa watu wa kitengo ndio huu wa kupitia mabandiko humu jf, then, tuna wataalam wazuri na mahiri sana wa utambuzi.
Umepatia, mimi ni wa kitengo, ofisi yangu ni lile jengo meli pale St. Peters. Kule kazini, tuna majina yetu ya kazini, jina langu la kazini naitwa Chifu. Karibu sana tutembeleane, ukifika tuu getini wewe sema ni mgeni wa Chifu.
P