Mkuu Msabillah, mimi naungana na wewe, huu ni uongo na uzushi mtupu, huyu Britannica ni jamaa fulani muongo sana hana mfano humu jf, katika uzi wake mmoja, alidiriki kutunga uongo mkubwa sana hadi kumbadili jina na kabila kiongozi fulani. Kiongozi huyu ni wa kabila la Wasukuma, jamaa akambadili kabila kuwa sio Msukuma bali ni Mhaya, akamtungia hadi jina la uongo la Kihaya kuwa anaitwa Katto, nilipomuuliza atafanue kuhusu hili la Katto, aliingia mitini, hivyo Britannica ni muongo muongo, mzushi na mtunga stori za vijiweni yeye anatungia humu jf.
Bandiko lenyewe baada ya kushtukiwa na mode, limefutwa kabisa jf, kisa ni uongo wa Britannica kumhusu Katto.
P