Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Hahahahahah...Pasco mzee wa falsafa na indirect puzzle, ni kweli brittanica ni muongo kweli....
Britannica muongo sana, anatunga uongo mkubwa sana unaokaribiana kufanana na ukweli, ili kiukweli ana kipaji cha kuaminika, hapa karibu wote wameamini, akifungua kanisa lake, atapata sana waumini, Gwajima, Kakobe, Mzee wa Upako na Mwingira, watasubiri.
P
 
Umeirudia comment hii umesahau kumwambia kwamba akija kukutafa asije ijumaa maana familia imaweza kumtafta akiwa yuko mikono salama mpaka apatikane ni siku ya kazi jumatatu 😀😀😀😀
Du!, Mkuu Britannica, kumbe kipaji chako sio cha kudanganya tuu uongo unaofanana na ukweli, bali pia una kipaji cha kumbukumbu!, au na wewe ni mtu wetu lakini hutujuani?.
P
 
Ajabu ipo wapi mbona mwalimi nyerere alikuwa analindwa na polisi wa North korea miaka ya 80 kipindi coup zilikuwa zinashamiri
Wewe ulikuwa umezaliwa miaka hiyo unayosema kuhusu mwalimu kulindwa na NORTH KOREA?
North Korea haikuwahi kufanya chochote cha kufanana na hicho TZ.Walikifanya ZIM(ZANU vs ZAPU) sio TZ.
Ulizeni na fuatilieni yaliyopita kwani ni historia , na historia haipotoshwi!!
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Some folks are always seek to ostracize rather than love and try to show support for what is ours.
Why you have become so bitter and angry i do not know.I cant hate anyone even if i tried. And i always try to look out for advising rather than making fake accusations every now and then.


I come on this platform and everyday and its one battle after the other .
Its tiring to say the least
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Mlimwona Mange ni kichaa. Wapo waliopo ndani ya serikali hawafuhishwi kabisa na anayoyafanya Magufuli. Na wao kuongea wanaogopa ndio hao hao wanamtumia Mange yote yanayotendeka. Na mlipoambiwa Magufuli ni mrundi hamjaamini mpaka hiyo siku atakapotomkia kwao ndio utasema kumbe yule mwanadada alikuwa anasema ukweli. Yaani watanzania wote wamegwaya kwa mrundi yaani hata jeshi letu limetekwa nao wako kimya wanaacha Tanzania inaangamia kwa kumwogopa raia wa nchi nyingine afanye anavyotaka.
 
Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?

Kisa Mny*****enge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
Mnyamulenge... Wataalamu wa vita vya kimbari. Doooh!!!!
 
Huu ni upuuzi mwingine, ningekua na mamlaka nyote mnaotangaza huu ushenzi ningewatia mikononi mthibitishe haya na mkishindwa mngejuta
Nenda kwanza kahakikishe kama baba yako ndie ndio uje uandike upuuzi wako hapa
 
Jina laako ni taam saanaa weee Taaaaa........Taaaaa.....nia. nilalapo nakuootaa weeeee....
 
Back
Top Bottom