Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Rwanda tena nilijua amesema kanchi jirani
 
Kwa taarifa yako hakuanza yeye, ipo kwa mwingine wa zamani kidogo. Unacheza na nchi ya Guam wewe? Unavyoona wanasiasa wanatoka upande huu wanaenda huko mara wanarudi tena huku, tambua Guam ni nchi ya vinyonga.
 
Hata Queen Elizabeth analindwa na Wajamaica
Nikiwaona wanabadilishana zamu Buckingham palace huwa najiuliza hivi baridi hii wanapuliza puli ngapi kwa siku hahaaha
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu.
 
Na huyu mwenye mawazo kama haya usidhani anatania.

Hivi ndivyo anavyojua na kuamini yeye.

Ni maajabu makubwa, kazi anayoifanya Muumba wetu, kama kweli yupo!

"---wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu."
Kwa hiyo, kwa vile 'tumepiga hatua sana,' tunaamua kuwapa kazi ya kumlinda mtu wetu aliyetufanya tupige hatua sana!
Read between lines, anyway tuendelee kumuunga mkono raisi wetu kwa jitihada kubwa anazofanya bila kujali kama zinatupeleka mbele au nyuma
 
Kama mwandishi anamaanisha TZ,anaongopa.Mimi nawafahamu baadhi ya vijana wa usalama wanaolinda pale Ikulu.Walio wengi ni wasukuma ambao tulikuwa tunaishi nao hapa Geita.
Hata yule Kanali anayekaa nyuma ya Rais anafahamika ni mtanzania aliyechukua nafasi ya yule Mhehe.
acha ushamba..walioko off camera manina
 
Hata Queen Elizabeth analindwa na Wajamaica
Nikiwaona wanabadilishana zamu Buckingham palace huwa najiuliza hivi baridi hii wanapuliza puli ngapi kwa siku hahaaha
Queen elizabeth ni malkia wa jamaica na ardhi ya jamaica ni yake ni kama vile magufuli ni rais wa bara na znz

Kwahiyo wataka sema jiwe rwanda ni yake sio ? Au kagame Tz ni yake
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
JWTZ mafala sana, wacha wageuzwe makuli wa korosho!
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Acha basi kujishtukia, kwani kasema TZ? Au Guam hupajui
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Tuaminishe na sisi acha porojo no fact the rest is pumba... No research no right to speak.... Sasa sisi umetuaminishaje kwa huu uzi wako?
 
Mkuu sidhani kama unaelewa sensitivity ya huu Uzi.
 
Acheni uchochezi na wivu, nchi yetu imepiga hatua sana mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu, hili ni jambo la kupigiwa mfano duniani kote. Hakuna nchi yoyote iliyoweza kuweka "vivutio vya wanajeshi" kama nchi yetu tukufu. Na hizi ni "juhudi" kubwa za raisi wetu mtukufu na sasa ni dhahiri shairi tunaenda kuishinda hii "vita ya kiuchumi".
kuweka kumbukumbu sawa, hii post imekuwa liked na watu watatu.
 
Sitaki wakati fulani kujitoa ufahamu. Ili ujinga wangu uwe dhahili nimechagua maswali japo mawili ya kipuuzi nijiulize ili wenye werevu ili wasiwe wajinga na majuha zaidi yangu wanisaidie
1. Kikosi cha kisiwa cha Guam kinatambulikaje? Je ni yale mavazi ambayo hata mimi sikuyazoea?
2. Hapana shaka jirani wa Ticha mdada mpuuzi aweza kuja na kitu makini . Haiwezekani afanye ufunyuzi ashindwe kujua na kuthibitisha kuwa wale wapo kwenye payroll ya Guam kwa majina ila wako on mission kisiwani list itasema yupo
A.. Cpl ntebahungwa Mzendeka
B. Sgt Dosiane Kinyembwa
Je Jirani unayo orodha?
Je kama kweli kama mmoja amesema kwa ushuhuda kuwa yule mnamuona off camera ni Nyanzila korogo ni kijana ni ndugu yako mtoto wa shangazi wa mama mkwe wa dada yake babu yake wa mjomba wa mkweo utakataa?
Tatizo ni Mavazi au Akina tebahungwa wapo ulikuwa nao kozi Canada?
Hii akili yangu hata mimi siiellewi
 
Back
Top Bottom