Nnyindojihadini
JF-Expert Member
- Nov 12, 2018
- 643
- 437
Mambo haya yanawezekana huko waliko ruhusu mpaka machoko jeshi si Tanzania. Tusidanganyane mfumo wetu wa jeshi ni ule wa ndio afande. Kinyume na hapo wewe si mpiganaji, si nzalendo ni adui wa Taifa/Nchi hili.
Pole mkuu watu wa jamii yenu huwa mnaelewa taratiiiiiiiiibu sanaaaaaaa na hata sasa yapo mengi mnooo bado utaendelea kusema si kweli ila ipo siku utakuja hapa jukwaan kusema unasikitika kugundua kuwa kitu fulani hukuwa unaamini ila sasa umeamini na umesikitika sana. Kwa taarifa yako hata Mkuu wa Gesh la Gwam hana ushawishi kwa walio chini yake na anadharaulika na wanamuita 2GB wakimaanisha hana capacity kwa position aliyo nayo!