Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Mambo haya yanawezekana huko waliko ruhusu mpaka machoko jeshi si Tanzania. Tusidanganyane mfumo wetu wa jeshi ni ule wa ndio afande. Kinyume na hapo wewe si mpiganaji, si nzalendo ni adui wa Taifa/Nchi hili.

Pole mkuu watu wa jamii yenu huwa mnaelewa taratiiiiiiiiibu sanaaaaaaa na hata sasa yapo mengi mnooo bado utaendelea kusema si kweli ila ipo siku utakuja hapa jukwaan kusema unasikitika kugundua kuwa kitu fulani hukuwa unaamini ila sasa umeamini na umesikitika sana. Kwa taarifa yako hata Mkuu wa Gesh la Gwam hana ushawishi kwa walio chini yake na anadharaulika na wanamuita 2GB wakimaanisha hana capacity kwa position aliyo nayo!
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
UNAWEWESEKA?
 
Mlimwona Mange ni kichaa. Wapo waliopo ndani ya serikali hawafuhishwi kabisa na anayoyafanya Magufuli. Na wao kuongea wanaogopa ndio hao hao wanamtumia Mange yote yanayotendeka. Na mlipoambiwa Magufuli ni mrundi hamjaamini mpaka hiyo siku atakapotomkia kwao ndio utasema kumbe yule mwanadada alikuwa anasema ukweli. Yaani watanzania wote wamegwaya kwa mrundi yaani hata jeshi letu limetekwa nao wako kimya wanaacha Tanzania inaangamia kwa kumwogopa raia wa nchi nyingine afanye anavyotaka.
Udhaifu wa kikwete na uhayawani wa mkapa ndo umetuletea huu mkosi wa hili Hutu.
 
Mkuu IGWE tz1 na Rwanda zimefikaje hapa? Acha uchochezi.
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
 
Nakuhurumia sana maana hujui kitu ndani ya jeshi,....km hata askari private tu anamajibu tosha kati ya mabeyo na mwamunyange
Acheni uchochezi na wivu, nchi yetu imepiga hatua sana mpaka wanajeshi wa nchi nyingine wanajikuta wanashindwa kujizuia mpaka wanaamua kuja kuomba ajira kwenye nchi yetu, hili ni jambo la kupigiwa mfano duniani kote. Hakuna nchi yoyote iliyoweza kuweka "vivutio vya wanajeshi" kama nchi yetu tukufu. Na hizi ni "juhudi" kubwa za raisi wetu mtukufu na sasa ni dhahiri shairi tunaenda kuishinda hii "vita ya kiuchumi".
 
Sidhani Kama protocol zinaruhusu raising alindwe na Raia au ulinzi binafsi achilia mbali wanajeshi toka nje ya nchi. Haiwezekani

Protocal ya nchi gani wakati wa ziara za Bush na Obama tuliona snipers wakiwa kwenye paa la magogoni mchana jua la utosini. Baada ya hapo maana yake pale magogoni tumebaki na puchi mbele ya Wamarekani.
 
Hii kitu ya kusaidiana ulinzi nmewahi kuiskia.

Ijapokua siisapoti na haijakaa poa hats kidogo.

Tena juz juz tu kweny hii ishu ya Kashogi.

Nliskia kua chief wa Saudia analindwa na Special force wa marekani.

Chief hamuamini yeyote pale ikulu , wakiwemo ndugu,jamaa na familia yake yote.
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
BWANA ASIPO ULINDA MJI WAULINDAO WANAFANYA KAZI BURE😁😁😂😂😂😂😂😂 Ata ulindwe na Malaika!!! Yupo Mungu YEHOVA Ata uwe na nguvu au mahela !!!YEYE ATASIKIA KILIO CHA WATU WAKE WA NCHI YA DANGANYIKA NA ATAKUJA WAOKOA
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Hujiamini hata kidogo....woga wako umasikini wako...
 
Nakuhurumia sana maana hujui kitu ndani ya jeshi,....km hata askari private tu anamajibu tosha kati ya mabeyo na mwamunyange
Nimejaribu kukuelewa mkuu ila nadhani upeo wangu ni mdogo au mkubwa sana kuweza kuelewa ulichomaanisha. Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Back
Top Bottom