Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Pamoja mkuu.. Nchi hii mkuu kuna mambo ukisikia huwezi kuamini mpaka uone lakini ni dhahili mambo mengi sana ya siri ukiyajua au jamii ikijua basi jamii itaumia sana kama siyo kufadhaika mno"
Nimejaribu kukuelewa mkuu ila nadhani upeo wangu ni mdogo au mkubwa sana kuweza kuelewa ulichomaanisha. Zidumu fikra za mwenyekiti
 
Hii story nilishaisikia long time ago lakini vyanzo vyangu vimenithibitishia ni maneno tu ya kanga kama kawaida ya wabongo na umbea wao
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...Funga bakuli lako nawa miguu ukalale
 
britanicca
yupo kama jiwe
kuna siku anaamkaga
kama CCM asilia wa mrengo wa kulia..
siku nyingine
kama CCM mageuzi pinzani..
Haya tumeyasema tangu mwaka jana...
Inamaana wale ma charlii nawakutaga pale ukutani Kona ya soko la samaki wamebeba magitaa Ni wa kule kupita benako??? Vidogo vidogo vyeusiii !!!
 
Guam hata mshauri mkuu ni mgeni kutoka kwa marehemu Kenyatta.Ndiomana mambo yanaimiza na matukio ya serekali ya Guam nikama they don't CARE kuhusu RAIA
 
Halafu cha kusikitisha hiyo Nchi ya Guam ina wanajeshi wake wanalinda amani kule Vietnam kupambana na Waasi na hao waasi wanapewa nguvu na Silaha na kiongozi wa nchi iliyotoa ulinzi kwa huyo kiongozi wa Guam na inafikia hadi wanajeshi walindao amani kule Vietnam wanauawa kila mara na hao waasi wanapewa nguvu na hako kanchi kanakomlinda huyo kiongozi wa Guam

Hizi zote ni story za vijiweni, ba sidhani kama una uhakika na unachosema.

Unawafahamu hao waasi? umekaa nao?

Je wafahamu lengo la uasi wao?

Umeishi huko Vietnam?

Unafahamu kwanini wanajeshi walinda Amani wanavamiwa sana sasa hivi kuliko zamani?
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam

Hivyo ni vikosi saidizi au "auxiliary force" au kwa lugha ingine "paramilitary force".

Lakini mbona wanaonekanana wazi?

Sema hawakuwahi kuonekana kwenye hali tofauti ya hewa hapo kisiwani Guam.

Inakubalika kabisa hiyo, khasa baada ya jamaa wale kugundulika mipango yao halisi na jamaa zao wahisani.

Ila mkuu, fuata ushauri wa Pascal.
 
Naona mmewaweza mods, huu uzi bado uko hai kwa sababu mnaizungumzia nchi ya kusadikika ya Guam (kisiwa kidogo chenye base ya jeshi la Marekani). Iwe fundisho kwa wengine wanaoleta nyuzi za dizaini hii, hakuna free speech, nchi yenu ya Guam inaongozwa na wahuni na wauaji ila ndio hivyo kutekwa, kung' olewa kucha na risasi 38 ziko palepale. Majaliwa yetu anayajua aliyetuumba.
 
KWA AKILI YA KAWAIDA TU HILI JAMBO HALIWEZEKANI....KAMA ATAWACHUKUA WA JIRANI HUONI ATAJITENGENEZEA UADUI NA WA KWETU? THEN ITAKUA RAHISI KUDHURIWA!!! KUNA VITU VINGINE TUTUMIA COMMON SENSE.
 
Hivyo ni vikosi saidizi au "auxiliary force" au kwa lugha ingine "paramilitary force".

Lakini mbona wanaonekanana wazi?

Sema hawakuwahi kuonekana kwenye hali tofauti ya hewa hapo kisiwani Guam.

Inakubalika kabisa hiyo, khasa baada ya jamaa wale kugundulika mipango yao halisi na jamaa zao wahisani.

Ila mkuu, fuata ushauri wa Pascal.

..Je, hao ndiyo wahusika lile tukio la Sept 7, 2017?
 
..Je, hao ndiyo wahusika lile tukio la Sept 7, 2017?

Sidhani kama hawa wanaweza kukiuka maadili kiasi hicho na kujihusisha na matukio ya kizembe kama hilo unalosema.

Nna uhakika kabisa kwamba ingekuwa ni hawa basi tungekuwa twaongea mengine maana wana uzoefu na mambo kama hayo.

Ila wapo au walikuwepo watu wa aina hiyo na ambao mpaka naandika haya, walikusanywa kisha wakapelekwa kwenye kile kisiwa chengine mbali kidogo na kisiwa chetu cha Guam.

Ndo maana mpaka dakika hii hakuna na hatujasikia tena matukio kama ya kule kwenye wilaya Tamun ambako kuna mto unaomwaga maji yake kwenye bahari ya Pacific, kupora mabenki na kuvamia vituo vya polisi.

Muulize Brittania jina la kile kisiwa chengine..
 
Sawa, wewe una hiyo imani. Je, yeye ana imani hiyo!?
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
 
Ndugu zake wanamlinda, sijui anawalipa nini!? Isije kuwa zile 1.5 zilizopotea ndio gharama za ulinzi kwa miaka 5.
Wanamlinda ndugu yao kwani wanajua kuwa mfalme j sio raia wa Guam bali ni mzaliwa wa kale kanchi kanakomlinda
 
Back
Top Bottom