Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Hivyo ni vikosi saidizi au "auxiliary force" au kwa lugha ingine "paramilitary force".

Lakini mbona wanaonekanana wazi?

Sema hawakuwahi kuonekana kwenye hali tofauti ya hewa hapo kisiwani Guam.

Inakubalika kabisa hiyo, khasa baada ya jamaa wale kugundulika mipango yao halisi na jamaa zao wahisani.

Ila mkuu, fuata ushauri wa Pascal.
Nilisubiri u comment mkuu

Btn the lines inabidi wasomaji wapitie hapa wakiunganisha na mabandiko ya Kaka Paskali
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Inasikitisha sana vijana kuishi kwa Mawazo ya kufikirika,,
Tatzo mnakurupuka mno kwa kujifanya mnajua sana wakat hamjui hata chembe ya mambo...

Usalama Wa nchi hauko kama mnavyofikiria nyinyi...
Kuna mambo yanayohusu ulinzi Wa nchi hata raisi mwenyewe hayajui ila anapewa ripoti tu..
 
Mkuu Britannica, kwanza usiamini kila unachosikia, kuna vingine ni kweli na vingine si kweli, mfano hili la kulindwa na jirani, sii kweli.

Pili sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, ukweli mwingine, unasikia na kumezea au kukaushia tuu.

Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
P
Mkuu umejibu kwa hekima sana.. Hawa jamaa sijui wanapata wapi taarifa matope kama hizi....
Wanapata mda Wa kuyasikiliza haya matope sababu hawana mda Wa kutafiti ukweli Wa jambo..
Ulinzi Wa himaya ya nchi hautolewi maamuzi na kiongozi aliyepo Bali hata yeye anapokea taarifa tu
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Usiwe na wasiwasi mkuu, Fanya utafiti kidogo huyo (super tall) mkuu wa ..chi kadogo hapo kabla alikuwa mnadhimu mwa.....nge wa ..chi jirani, na kikosi maalum kinachomlinda yeye kinatoka kuleeeee kwenye oil/fuel pipeline, nadhani umenielewa. Pia hapo juu "nidasu kusi" walinzi maalum wanatoka oil pipeline.
 
Pita Pita zangu mtandaon niliona jamaa mmoja ameedit picha moja inayoonesha mfalme hyo wa Guam akilindwa na vijana , wamevalia gwanda Flan iv tofauti na zilizozoeleka... nkafanya uchunguz nkaambiwa hao ni wa ki-nchi Flan iv kidogo dogo Mithili ya kisiwa cha shelisheli. Sasa nkajiuliza sasa huku kutoaminiwa kwa majeshi ya Guam,, itawagharim
 
Sidhani kama hawa wanaweza kukiuka maadili kiasi hicho na kujihusisha na matukio ya kizembe kama hilo unalosema.

Nna uhakika kabisa kwamba ingekuwa ni hawa basi tungekuwa twaongea mengine maana wana uzoefu na mambo kama hayo.

..nakubaliana na wewe kwamba tukio lile lilikiuka maadili. Ule ulikuwa ni UNYAMA.

..lakini natofautiana na madai yako kwamba ni tukio la kizembe, au aliyelitekeleza alikuwa mzembe.

..kwa maoni yangu waliotekeleza tukio lile ni watu waliofuzu na mahiri ktk kutumia automatic rifles.

..ndani ya muda mfupi, na katika mazingira magumu ambapo mlengwa hakuwa katika eneo la wazi, waliweza kurusha risasi 38 na kati ya hizo 16 zilimpata mlengwa.

..maana yake ni kwamba kwa kila risasi 2 walizorusha, 1 ilimpata mlengwa.

..kwa wenye uzoefu na automatic rifles watakubaliana na mimi kwamba washambuliaji walikuwa ni PROFESSIONALS.

..lakini pia washambuliaji hao waliweza kutoroka eneo la tukio bila KUKAMATWA na mpaka leo hii imeshindikana KUWATAMBUA.

..Again, natofautiana na wewe unaposema shambulizi lile ni la kizembe au lilitekelezwa na watu wazembe.
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama

Guaman m Tz acha umbea
 
Kwahiyo wanajeshi wakwetu wameonekana hawawezi kazi ya kumlinda mfalme zaidi ya kubangua korosho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]
 
Nilisubiri u comment mkuu

Btn the lines inabidi wasomaji wapitie hapa wakiunganisha na mabandiko ya Kaka Paskali

Kwenye mambo kama haya yanayohusu hali ya hewa ya hivi visiwa, ni jambo la busara kutumia dots tu na kuangalia uandishi wako..
 
Pita Pita zangu mtandaon niliona jamaa mmoja ameedit picha moja inayoonesha mfalme hyo wa Guam akilindwa na vijana , wamevalia gwanda Flan iv tofauti na zilizozoeleka... nkafanya uchunguz nkaambiwa hao ni wa ki-nchi Flan iv kidogo dogo Mithili ya kisiwa cha shelisheli. Sasa nkajiuliza sasa huku kutoaminiwa kwa majeshi ya Guam,, itawagharim
Alikuongopea sana, hizo mbona zipo siku zote sema ulikua hujaziona tu.
 
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
UNAWAITA VILAZA WAKATI WABUNGE WENU WAMEENDA KWAO KUJIFUNZA NAMNA YA KUTUNZA PESA ZA SERIKALI KWENYE KAPU MOJA
 
Sasa kwa hali iliyopo inawezekana kiongozi wa Guam ana mpango wa kukaa muda mrefu kama jamaa anayempa ulinzi au niaje hapa, maana ndege wafananao huruka pamoja bandugu.
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Usilolijua ni usiku wa giza, mbaya zaidi kila mtu huamini & kusadiki kile apendacho.
 
Back
Top Bottom