Ok bro,No hii issue haziwezi kuwa kweli, hivyo nilikuwa namwambia jamaa asiamini kila anacho ambiwa, vingine ni matango pori kama hili.
P
Most welcomePole sana nilisikia But I think ulikata tamaa. Nina idea flani ya chombo cha habari nikiwa vizuri nitakutafuta.
Taarifa zako huwa naziamini 100%,hata mimi nalijua hilo siku nyingi sana,kifupi ni kwamba hiyo nchi ya Guam ipo mikononi mwa Mr Slim, kiongozi wa jamhuri ya wamwaga damu,niliwahi kuleta Uzi hapa juu ya hatima ya nchi ya Guam mods wakaifuta,Mr slim hatimaye kafanikiwa lengo lake, hatimaye Bahima inakaribia.
Sasa utasema kuna usalama wa taifa hapo au matako ya taifa? Utaruhusuje jeshi la nchi jirani likulinde?
Ina maana hawaamini wanajeshi wake ndo maana anawadharau sana hadi kuwabebesha mazao na kuwageuza mgambo wa kulinda maduka,sijui kwanini wanamchekea mfalme juha huyo.
Kuna Nabii wa Uganda alitabiri mwisho mbaya wa mfalme wa Guam
poaMost welcome
P
Believe that and you'll believe anythingOk bro,
Binafsi siiamini pia na simpingi.Guam kuna mambo yameshafanyika kiasi kwamba habari kama hii ikiwa ya kweli hata sitashangaa tena.
Siku akigoma kutii masharti ya Mr slim atapigwa risasi ya kichwa kama kabilaWale wakwake hawaamini ameona awachukue wa asili yake ukizingatia ni role model wake.
Wako busy kubangua koroshoMkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
Unanikumbusha novel ya Chase "believe this you will believe everything"Believe that and you'll believe anything
P
Wamepewa kazi nyingine za kibiashara.Mkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
Nimekupata mkuu..ni kwel kuna mambo mengine yanaonekana tofauti sana na uhalisia .unachoonyeshwa kinaweza kikawa na tafsi tofauti sana.Watu wanajaribu kuchokonoa mambo makubwa ambayo hawana uwezo wa kuyaelezea.Kuna watu hawalali kwa usalama wa Taifa letu na tutumie njia zinazostahili kama tuna mashaka na mambo haya makubwa.Njia mojawapo ni kamati ya bunge inayohusiana na mambo hayo.
Tumetetreka katika demokrasia lakini bado sisi ni stable kuliko nchi yoyote na tujikumbushe tu Marehemu Jumbe kwenda Dododma na vin'gora na kurudi bila cheo.Watu hawa wakiamua kujenga hoja hata kama ni Raisi ataondoka.
Mleta mada inaonekana anaaminika na anawafuasi wa taarifa zake. Wewe ukimpinga wafuasi wake hawatakuelewa. Mi naona wewe unaonekana unapingana na imani zao kuhusu wanachokiamini tayari. Hapa hata ukileta ukweli utaonekana muongo. Nadhani unanielewa, audience yake ndiyo hii huwezi badirisha misimamo yao kuhusu hili. Nafahamu, ungependa wakuelewe na wakubaliane nawewe kwamba huu ni uongo. Lakini wameshakubaliana naye, ukweli wako hauwezi kurudisha PH ikawa neutral.Believe that and you'll believe anything
P
******amul***.Mkuu naishia hapo na sitasema tena ila nimeumia mno, huyu mtu alosema bado yupo kwenye systems tena ngazi zenyewe za juu kabisa, kwanza nimewaza usiku mzima kwamba how comes Rais ni Wa Guam kwanini alindwe na hao wa hapo pembeni?
Kisa Mny*****enge aliyejiweka katika kamji ka kaskazini sehem.moja, sasa anawaamini origin yake ndo wa mlinde
Huenda hatuna walinzi tunawaonezi wa wananchiJiwe haamini mtu kutokana na matendo yake!
Kwa hiyo hataki watu waseme kwamba wanajeshi wa 'fidodido' wanamlinda mzalendo wetu numero uno??Wewe Britannica wewe, Katto akikusikia, shauri yako.
P