Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

 
Malizia tu kuwa sasa upo huko jikoni kwenu TISS tukuelewe
 
Duh!, yamekuwa haya!. Kati ya freedoms zote, only the freedom to think ndio absolute freedom, mtu uko huru kuwaza chochote kuhusu yoyote au jambo lolote, hivyo nayaheshimu mawazo yako kuwa natafuta uteuzi.

Ukipata muda tembelea nyuzi hizi uone jinsi watu tunavyojituma kutafuta teuzi.

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!.

Jee Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?- Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?.

Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!
P
 
Takataka
 
Pascal sikuelewagi unampigania Nani katika nchi hii!
Nachoona unapigania tumbo lako maana jinsi unavyotanaani kuwa everybody's darling sio kawaida!
majina yanaumba, ukimuita mtoto Havijawa atakuwa Havijawa..heshimu sana jina la ukoo, wakati linatolewa kwetu uko lilitolewa kubeba maana halisi ya nature ya wahusika kupewa jina.So what goes around comes around..
 
Pascal sikuelewagi unampigania Nani katika nchi hii!
Nachoona unapigania tumbo lako maana jinsi unavyotanaani kuwa everybody's darling sio kawaida!
Siku hizi yuko upande wa Jiwe kwa asilimia 100.Chunguza post/comments zake utagundua nachokisema.
 
Pascal sikuelewagi unampigania Nani katika nchi hii!
Nachoona unapigania tumbo lako maana jinsi unavyotanaani kuwa everybody's darling sio kawaida!
Kumbe kuna watu mnapigania watu hadi kuulizana unampigania nani?. Mimi ni mzalendo wa kweli wa nchi yangu, simpiganii mtu bali naipigania nchi yangu kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa.
P.
 
FFU au KM ya magereza tanzania ni zaidi ya jeshi la Rwanda kimbinu na kiufanisi. Askari wa rwanda wanakuja sana monduli kupata training alafu wao ndio waje wamlinde jiwe labda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…