Mkuu concordile, huu ni uongo mtakatifu, sema tuu Mkuu Britannica ana kipaji cha kukubalika, hata akidanganya uongo wake unachukuliwa kuwa ukweli, siamini huu uongo wa bandiko hili umeaminiwa hadi umefika page 20!, jambo hili ni uongo, haliwezekani, kwa sababu mimi mwenyewe tuu hapa ni mjenda, kati ya taasisi inayoongoza kwa vetting ya security ya usalama ni PSU, wanakuja TISS, wanakuja JWTZ ndipo inakuja serikali.
This is next to impossible, but wana jf ni watu wa ajabu kweli, yaani wananwanini Britannica kuliko hata mimi ninayefanya ukweli wangu, tena nilikuwa mjeda!, Unless mimi ni zilipendwa na Britannica naye awe ni wale wale wa sasa waliopo, vinginevyo believe that and you'll believe anything.
P