Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Mkuu uliyesema hawa wakwetu wanabangua korosho walaahi huendi mbinguni khaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sidhani Kama protocol zinaruhusu raising alindwe na Raia au ulinzi binafsi achilia mbali wanajeshi toka nje ya nchi. Haiwezekani
Unashangaa nn kwani waliopaswa kumlinda wangefanya nn?? Vp kuhusu kuwanunua wapinzani kwa bei mbaya kisha kuwapa uongozi?? Hapo kwa wale wafia chama walijaribu hata kunung'unika zaidi ya kumsifia??? Kwa huyu Bw lolote linawezekana kwake?? Hapa unajaribu kupinga lkn uhakika uko ndani ya nafsi yako.
 
Mkuu,

Hiyo sentensi yako ya pili haikua na haja ya kuwepo kama ulichokisema ktk sentensi ya kwanza kina ukweli.Kitendo cha kusema hiyo sentensi ya pili kinaonesha wewe mwenyewe hauamini ulichokisema kwenye sentensi ya kwanza.
 
Hapa ni uongo Mtakatifu kabisa.
Naona matukio yanyuma yameisha muda wake.
Sasa yanaanzishwa mengine.
Mkuu Msabillah, mimi naungana na wewe, huu ni uongo na uzushi mtupu, huyu Britannica ni jamaa fulani muongo sana hana mfano humu jf, katika uzi wake mmoja, alidiriki kutunga uongo mkubwa sana hadi kumbadili jina na kabila kiongozi fulani. Kiongozi huyu ni wa kabila la Wasukuma, jamaa akambadili kabila kuwa sio Msukuma bali ni Mhaya, akamtungia hadi jina la uongo la Kihaya kuwa anaitwa Katto, nilipomuuliza atafanue kuhusu hili la Katto, aliingia mitini, hivyo Britannica ni muongo muongo, mzushi na mtunga stori za vijiweni yeye anatungia humu jf.

Bandiko lenyewe baada ya kushtukiwa na mode, limefutwa kabisa jf, kisa ni uongo wa Britannica kumhusu Katto.
P
 
Kwani Tpdf ndio wanaomlinda rais au psu kutoka Tiss

Sasa TPDF wataumia vipi hapo mjomba
 
Jaman watanzania mnatuchosha akili wenzenu hivi Tanzania hakuna vyombo vya kumlinda mkulu hadi muanze kuaminisha wananchi uongo kuwa ulinzi unatoka Rwanda? Mmefuata kanuni za uandishibwa habari wa kubalance story? Mmetumwa na nan? Kwa faida ya nan? Kwa malengo yapi?

Heko vyombo vinavyomlinda Rais na mmefanikiwa kuwajua watanzania walivyo, ikiwezekana ADC wa Rais baadae ateuliwe mwanamke waseme mmemtoa Libya
 
Patriotism inakuja kwa kuaminiwa na kupewa uwezo wa kufanya mambo ya nchi yako at front.
 
Umesema ukweli mkuu ila ni nani wakumfunga paka kengele?
 
Warundi
 
Kama ingekuwa kweli, basi hiyo ingekuwa hatari zaidi. Kwa sababu ukilindwa kutoka nje, maisha yako yanakuwa nje pia. Hii kitu haiwezi ikatokea abadani usalama wa Guam 1 si kitu cha kukichezea kiasi hicho, sema wale jamaa ni wa pale ilipohamishiwa stendi ya town busses.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…