Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Mkuu uliyesema hawa wakwetu wanabangua korosho walaahi huendi mbinguni khaaa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sidhani Kama protocol zinaruhusu raising alindwe na Raia au ulinzi binafsi achilia mbali wanajeshi toka nje ya nchi. Haiwezekani
Unashangaa nn kwani waliopaswa kumlinda wangefanya nn?? Vp kuhusu kuwanunua wapinzani kwa bei mbaya kisha kuwapa uongozi?? Hapo kwa wale wafia chama walijaribu hata kunung'unika zaidi ya kumsifia??? Kwa huyu Bw lolote linawezekana kwake?? Hapa unajaribu kupinga lkn uhakika uko ndani ya nafsi yako.
 
Mkuu Britannica, kwanza usiamini kila unachosikia, kuna vingine ni kweli na vingine si kweli, mfano hili la kulindwa na jirani, sii kweli.

Pili sio kila ukweli unaousikia ni lazima uuseme, ukweli mwingine, unasikia na kumezea au kukaushia tuu.

Swali la Morality: Je ni lazima kuusema kila ukweli unaousikia au tutangulize mbele maslahi ya Taifa? - JamiiForums
P
Mkuu,

Hiyo sentensi yako ya pili haikua na haja ya kuwepo kama ulichokisema ktk sentensi ya kwanza kina ukweli.Kitendo cha kusema hiyo sentensi ya pili kinaonesha wewe mwenyewe hauamini ulichokisema kwenye sentensi ya kwanza.
 
Hapa ni uongo Mtakatifu kabisa.
Naona matukio yanyuma yameisha muda wake.
Sasa yanaanzishwa mengine.
Mkuu Msabillah, mimi naungana na wewe, huu ni uongo na uzushi mtupu, huyu Britannica ni jamaa fulani muongo sana hana mfano humu jf, katika uzi wake mmoja, alidiriki kutunga uongo mkubwa sana hadi kumbadili jina na kabila kiongozi fulani. Kiongozi huyu ni wa kabila la Wasukuma, jamaa akambadili kabila kuwa sio Msukuma bali ni Mhaya, akamtungia hadi jina la uongo la Kihaya kuwa anaitwa Katto, nilipomuuliza atafanue kuhusu hili la Katto, aliingia mitini, hivyo Britannica ni muongo muongo, mzushi na mtunga stori za vijiweni yeye anatungia humu jf.

Bandiko lenyewe baada ya kushtukiwa na mode, limefutwa kabisa jf, kisa ni uongo wa Britannica kumhusu Katto.
P
 
Yaani hii kitu inakula afya ya jeshi kimya kimya, yaani walinzi wetu wanaumia kimya kimya.

Hii ni kutokuamini vyombo vya usalama na ulinzi. Ila inapokuja ishu ya korosho ati wanajeshi wetu watabangua hata kwa meno, dah hii kauli ilinitatiza sana. Yaani wanausalama wetu wamekuwa kama maroboti? Hata kama ni watu wa kutii amri, amri nyingine zisiwe za kuwabeza jamani.

Ukuta wa mererani una rangi ya nyumba za TPDF nyingi ila haiingi akilini ninaposikiwa wako walinzi toka nchi jirani.

Yaani hapa ni sawa na mdada aliyefunua sketi na kumruhusu mwanaume achungulie weeee hadi mate yote yamtoke!!!

Habari hizi sitaki kusadiki kama ni za kweli, naamini ni street stories tu.

IT IS WELL WITH MY SOUL
Kwani Tpdf ndio wanaomlinda rais au psu kutoka Tiss

Sasa TPDF wataumia vipi hapo mjomba
 
Jaman watanzania mnatuchosha akili wenzenu hivi Tanzania hakuna vyombo vya kumlinda mkulu hadi muanze kuaminisha wananchi uongo kuwa ulinzi unatoka Rwanda? Mmefuata kanuni za uandishibwa habari wa kubalance story? Mmetumwa na nan? Kwa faida ya nan? Kwa malengo yapi?

Heko vyombo vinavyomlinda Rais na mmefanikiwa kuwajua watanzania walivyo, ikiwezekana ADC wa Rais baadae ateuliwe mwanamke waseme mmemtoa Libya
 
Patriotism inakuja kwa kuaminiwa na kupewa uwezo wa kufanya mambo ya nchi yako at front.
 
Watu wanajaribu kuchokonoa mambo makubwa ambayo hawana uwezo wa kuyaelezea.Kuna watu hawalali kwa usalama wa Taifa letu na tutumie njia zinazostahili kama tuna mashaka na mambo haya makubwa.Njia mojawapo ni kamati ya bunge inayohusiana na mambo hayo.
Tumetetreka katika demokrasia lakini bado sisi ni stable kuliko nchi yoyote na tujikumbushe tu Marehemu Jumbe kwenda Dododma na vin'gora na kurudi bila cheo.Watu hawa wakiamua kujenga hoja hata kama ni Raisi ataondoka.
Umesema ukweli mkuu ila ni nani wakumfunga paka kengele?
 
Kama mwandishi anamaanisha TZ,anaongopa.Mimi nawafahamu baadhi ya vijana wa usalama wanaolinda pale Ikulu.Walio wengi ni wasukuma ambao tulikuwa tunaishi nao hapa Geita.
Hata yule Kanali anayekaa nyuma ya Rais anafahamika ni mtanzania aliyechukua nafasi ya yule Mhehe.
Warundi
 
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam
Kama ingekuwa kweli, basi hiyo ingekuwa hatari zaidi. Kwa sababu ukilindwa kutoka nje, maisha yako yanakuwa nje pia. Hii kitu haiwezi ikatokea abadani usalama wa Guam 1 si kitu cha kukichezea kiasi hicho, sema wale jamaa ni wa pale ilipohamishiwa stendi ya town busses.
 
Back
Top Bottom