Hammer11
JF-Expert Member
- Feb 18, 2024
- 2,028
- 2,664
Leo nimeshangaaa hiii Dar leoo nilikuwa na ahadi na demu huyoo sasa mm sikuwa na hat buku nikamchek akasema nakuja nikajua masihara anatokoka Twangoma mimi niko Kigamboni kweli bana mchan niko geto akasema nishuke wapi nikamwambia darajani
Basi akaja nikapigaa show mchana ule mpaka 18:00 kaondoka na hata nauli ya 500 hajadai sasa hii Dar inawezekana vipi yaani nimemshangaaa huyuu mwanamke wadau
Basi akaja nikapigaa show mchana ule mpaka 18:00 kaondoka na hata nauli ya 500 hajadai sasa hii Dar inawezekana vipi yaani nimemshangaaa huyuu mwanamke wadau