Nilikuwa sina hela, ila nilimwambie mchumba aje geto na kweli kaja nakaondoka bila kumpa hata pesa

Nilikuwa sina hela, ila nilimwambie mchumba aje geto na kweli kaja nakaondoka bila kumpa hata pesa

Magari ya Tuangoma yanapita Darajani ?

Na kaja kaliwa hata hajala ? Hata kunywa Pepsi na chips bado akaondoka hujampa nauli 🤔🤔

Huyo demu duuh
Kapanda mpaka uhasibu akashuka akapanda hadi darajani kaka kipi hujaelewa hapoo
 
Hawa ndo vijana tunawategemea watupe katiba mpya.
Lissu akitoka akale zake bata Belgium tu
 
hivi kumbe kigamboni+tuangoma ni dar!? mbona km nimesahau, sijui ni uzee unaninyemelea ninii?
»hongera kwa kula kei ni kei bure.
 
Hicho alichofanya ni branding and long-term investment.
Wasikutishe sana, bado wapo kama hao. Ila chukua tahadhari, isiwe njia ya kuingizwa kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom