Hakuna vya bureKwann
Leo nimeshangaaa hiii dar leoo nilikuwa na ahadi na demu huyoo sasa mm sikuwa na hat buku nikamchek akasema nakuja nikajua masihara anatkoka twangoma mm niko kigamboni kweli bana mchan niko geto akasema nishuke wap nikamwambia dalajan basi akaja nikapigaa show mchana ule mpaka 1800 kaondoka na hata nauri ya 500 hajadai sasa hii dar inawezekana vp yaan nimemshangaaa huyuu mwanamke wadau
Nenda kapime ngomaKwaiyoo
Hapo wewe endelea kuloweka tu hakuna namnaSasa inakuwajeee
Mleta mada hajasema alipiga kavu ila mshaanza kumtisha na VVUVVU siku hizi huitafuti wewe, inajileta yenyewe
Mleta mada hajasema kama alipiga kavuBaada ya week kapime Ngoma.
Ngoma tayari unayoLeo nimeshangaaa hiii dar leoo nilikuwa na ahadi na demu huyoo sasa mm sikuwa na hat buku nikamchek akasema nakuja nikajua masihara anatkoka twangoma mm niko kigamboni kweli bana mchan niko geto akasema nishuke wap nikamwambia dalajan basi akaja nikapigaa show mchana ule mpaka 1800 kaondoka na hata nauri ya 500 hajadai sasa hii dar inawezekana vp yaan nimemshangaaa huyuu mwanamke wadau