Nilikuwa sina hela, ila nilimwambie mchumba aje geto na kweli kaja nakaondoka bila kumpa hata pesa

Hana haja na nauli yako cha msingi kafanikisha lengo lake la ku kuunganisha kwenye gridi ya Taifa!
 
Litakuwa jini maimuna
siyo mwanamke wa darisalamu
 
HIi muvi ya baga mteme naikumbuka .
 
Kwanza



Acha ujinga,, afu acha uzinzi
 
Magari ya Tuangoma yanapita Darajani ?

Na kaja kaliwa hata hajala ? Hata kunywa Pepsi na chips bado akaondoka hujampa nauli πŸ€”πŸ€”

Huyo demu duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…